Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.

Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.

Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.

Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Bongo Sio tamaduni zetu kukumbatiana wanaume kwa wanaume, hata mimi mwanaume kunikumbatia naweza mchapa kofi, nisikie joto lake la nini ?
 
Lengo la nyuzi kama huu ni kuamsha na kuchokoza hisia hasi kwa Wakristo hasa Roman Catholics.Nia yake mwishowe wapaze sauti za jazba na kupayuka (takbiiiiirrrr ya Kikristu)na kuanzisha fujo,mizozo,mapigano na uasi.Muwe makini sana na waleta nyuzi sampuli hiyo.
Hakuna Mkristo wa hivyo wa kuzidiwa hisia hadi arushe ngumi
 
Kuhusu ubaguzi huo ni mtazamo wako, usitake kuwaaminisha wengine, tangu lini watu weusi tukasalimiana kwa kupigana mambusu?, huo ni utamaduni wa wazungu, na sisi utamaduni wetu ni kusalimiana kwa kushikana mikono kama walivyofanya hapo.
Hata Dini ni utamaduni.

Wazungu ukristo wao ni utamaduni kwao.

Uislamu ni utamaduni kwa waarabu.

Iweje sasa waafrika kuiga utamaduni wa dini usio wahusu?
 
Wagalatia mmeona Miungu yenu imevaa kanzu ila nyie mnavaa nusu uchi😅😅.

Kuna mmoja karudi kuimplent lile agizo la kubariki ndoa za kina james delicious.
 
Waafrika walikuwa gizani kabla ya ujio wa dini,kwa maana waliabudu wasichokijua na wao kabla ya dini watakuhukumiwa kwa sheria ya maadili ya jamii yaani.
Do and don't do.
Wewe unacho kiabudu sasa hivi unakijua?

Kielezee na uki thibitishe.

Thibitisha kwamba waafrika walikuwa wana abudu wasicho kijua.

Eleza kinacho aabudiwa sasa hivi, kina utofauti upi na walicho abudu mababu zetu?

Kisha thibitisha na leta utafiti wa kuonesha kwamba mababu zetu waliamini wasicho kijua.
 
KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.

Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.

Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.

Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Kama wanabagua wasingempa Ukadinaari
 
Says some one ambaye hata technolojia, elimu na kila kitu chake ni matokeo ya wageni.
Huwa nina heshima kubwa kwa mtu asiyeamini kuliko yule anayeng'ang'ania kuwa tuacheni na vya wageni, mara tukaamini miungu yetu. Hao ni aina ya watumwa wasiojielewa ambao ni utumwa mkubwa kuliko.
Hivi kweli, ukiacha vyakula, ni kipi kinatumika nchini kwa mahitaji ya kila siku ambacho hakijaletwa na wageni?
 
Wewe unacho kiabudu sasa hivi unakijua?

Kielezee na uki thibitishe.

Thibitisha kwamba waafrika walikuwa wana abudu wasicho kijua.

Eleza kinacho aabudiwa sasa hivi, kina utofauti upi na walicho abudu mababu zetu?

Kisha thibitisha na leta utafiti wa kuonesha kwamba mababu zetu waliamini wasicho kijua.
Waliabudu mizimu kwa maana shetani akichukua advantage ya wao kutokumjua Mungu akajifanya mungu kwao wakimtolea sadaka na kafara za damu.
Mababu zetu walituingiza kwenye maagano ya ibada zao ambayo ndio yameleta shida kuu za watu wa Sasa zikiwemo vifungo,laana na mikosi mbalimbali mfano umasikini, magonjwa,udumavu wa fikra,nk.
Dini za Sasa zimeleta ukombozi wa mwili na roho kwa maana watu Sasa wanamuabduu Mungu wa kweli.
 
Back
Top Bottom