Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Uislam ni Dini ya Majini
Sio kweli, jitahidi ujielimishe kwanza. Uislam ni dini iliyonyooka kuamini katika Mungu mmoja kama ukristo na uyahudi.

Ni dini ya watu wote duniani, sio majini!

Ni dini inayoamini katika torati, injili na kufuata mafundisho ya manabii wa Mungu!
 
Hiyo mbona kawaida kwa wakristo ...
 
Kwanini hajàpewa salamu kama wenzake?
Yaaaaanii sisi tunakubaligi tuu kwa sababu ni ngozi nyeupe basii mbona kwenye kusali kama ni kupiga magoti mweusi na yy anapiga? Kwani ni unatamaduni wetu? Ni ubaguzi wa hali ya juu.
 
Ukristo siyo dini.

Acha kudharau Dini za watu,Mungu ni mmoja,tulichotofautiana ni taratibu za kumuabudu tu ndugu yangu.Waislam wanaabudu hivi wakristo wanaabudu vile.lakini mwisho wa siku wote tunamtaja Mungu,hata mitume wetu ni wale wale.
 
Acha kudharau Dini za watu,Mungu ni mmoja,tulichotofautiana ni taratibu za kumuabudu tu ndugu yangu.Waislam wanaabudu hivi wakristo wanaabudu vile.lakini mwisho wa siku wote tunamtaja Mungu,hata mitume wetu ni wale wale.
Wapi panaposema Ukristo ni dini?

Ukristo ni imani na sidharau mtu kwa imani yake.

Narudia, ukristo siyo dini.
 
Wewe ni mtumwa wa fikra, hata ukiambiwa kanisa ni chaka la ulawiti wa watoto wetu utabisha
Na madrasa ni madanguro, walimu wa madrasa mara nyingi hukamatwa kwa kuwaingilia wanafunzi wao bila kujali jinsi. Haya yanayitokea ni udhaifu wa watuhumiwa na wala si udhaifu wa misikiti wala makanisa kama unavyodhani wewe mbaguzi wa kidini.
 
KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.

Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.

Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.

Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Hakuna ubaguzi hapo! Huoni kuwa hiyo ndiyo namna anayoipendelea?

Wenzake wote waliitikia "salamu" ya mwenzao kwa kunyoosha mikono miwili kuonesha utayari wa kukumbatiana. Lakini huyo unayefikiri kabaghuliwa, ukiangalia mikono yake, hajafanya kama wenzake. Angalia mikono yake, ni wa kulia tu ndiyo kaunyosha ishara kuwa yeye salamu anayoitaka ni ya aina hiyo, kushikana mikono.

Katika wote waliosalimiwa, ni yeye peke yake ndiyo kapewa muda mrefu zaidi kuliko wengine wote. Wazungu wanauheshimu sana muda. Kitendo cha yeye kupewa muda mwingi kuzidi wenzake kunaashiria kuwa kaheshimika zaidi.

Hajabaghuliwa bali kaheshimiwa!
 
Swali rahisi kabisa ukisalimiwa na mwanaume mwenzio wewe Mmatumbi na Mabusu juu …UTAKUBALI ?
 
Wenzie walikua wana-extend mikono wakumbatiwe kadinal mweusi akanyoosha mkono ni maswala ya kitamaduni
 
Wenzie walikua wana-extend mikono wakumbatiwe kadinal mweusi akanyoosha mkono ni maswala ya kitamaduni
Na yule anayesalimia pia kaonesha ni mstaarabu, hakulazimisha kusalimia kwa staili isiyopendwa na kadinali mweusi.
 
Uliyeanzisha post hii umejaa ujinga wa kuto kujua mambo.
Hao watu wamefanya utafiti na kumsalimia kila mtu kwa culture yake.

Weusi tuna salimiana kwa kupeana mikono. Wazungu wanakumbatiana mabega Kuanzia kulia kisha kushoto.

Hakuna ubaguzi hapo. Toa ujinga wako wa kuto kujua mambo.
 
dini ni ya mud tu!
Hata hiyo uiandikayo siifahamu.

Qur'an 3:19.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
 
Hata hiyo uiandikayo siifahamu.

Qur'an 3:19.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
I don't believe your faith
 
Ukristo siyo dini.
Uislam siyo dini ila ni "Ustaarabu".

Ata sisi ni waislam 😅😅😅😅
20221113_154936.jpg
 
Back
Top Bottom