Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Lengo la nyuzi kama huu ni kuamsha na kuchokoza hisia hasi kwa Wakristo hasa Roman Catholics.Nia yake mwishowe wapaze sauti za jazba na kupayuka (takbiiiiirrrr ya Kikristu)na kuanzisha fujo,mizozo,mapigano na uasi.Muwe makini sana na waleta nyuzi sampuli hiyo.
 
Hata isipokuwa dini shida nini? Hebu tuache kuoigania hii midini ya wageni
Says some one ambaye hata technolojia, elimu na kila kitu chake ni matokeo ya wageni.
Huwa nina heshima kubwa kwa mtu asiyeamini kuliko yule anayeng'ang'ania kuwa tuacheni na vya wageni, mara tukaamini miungu yetu. Hao ni aina ya watumwa wasiojielewa ambao ni utumwa mkubwa kuliko.
 
Muafrika habusu mtu wa jinsia moja .ni itamadunisho
 
Sasa tofautisha ‘Imani’ (unproven) na technology (proven).
 
Ndiyo maana nikakwambia, nina heshima kubwa sana kwa yule aliyeamua kutoamini, kuliko yule anayesema 'achaneni na vya wageni'.
Hiyo technology unayosema ni proven kwani siyo ya wageni?
Unapojipanga kwa ajili ya yajayo kwani ni proven kwamba utaishi kuiona kesho? Si unafanya kwa imani tu but not guranteed?
Imani ni pana, hauwezi ukaikimbia, unachoweza kufanya ni kujidanganya tu kwamba hauamini wakati kiukweli Imani ni miongoni mwa mising inayobeba utimamu wa akili mtu.
 
KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.

Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.

Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko[emoji17] ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.

Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi [emoji24]
Kawaida sana
 
Ndiyo maana nikakwambia, nina heshima kubwa sana kwa yule aliyeamua kutoamini, kuliko yule anayesema 'achaneni na vya wageni'.
Hiyo technology unayosema ni proven kwani siyo ya wageni?
Unapojipanga kwa ajili ya yajayo kwani ni proven kwamba utaishi kuiona kesho? Si unafanya kwa imani tu but not guranteed?
Imani ni pana, hauwezi ukaikimbia, unachoweza kufanya ni kujidanganya tu kwamba hauamini wakati kiukweli Imani ni miongoni mwa mising inayobeba utimamu wa akili mtu.
Proven, local au foreign, hakuna sababu ya kuikataa kama ina faida. Imani (unproven), at the very least kwa kitu unproven, basi twende na cha kwetu, maana hakuna ushahidi kama imani foreign ni bora kuliko local.
 
Muafrika habusu mtu wa jinsia moja .ni itamadunisho
Kama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.
By the way, kama tamaduni ni hizi utaanzia wapi kupata idea au mizuka ya ku kiss
Screenshot_20231007-002129_Chrome.jpg
Screenshot_20231007-001950_Chrome.jpg
Screenshot_20231007-001922_Chrome.jpg
Screenshot_20231007-001837_Chrome.jpg
 
Proven, local au foreign, hakuna sababu ya kuikataa kama ina faida. Imani (unproven), at the very least kwa kitu unproven, basi twende na cha kwetu, maana hakuna ushahidi kama imani foreign ni bora kuliko local.
'Cha kwenu' kuamini kuwa kuzaa mapacha au walemavu ni laana na hivyo inabidi wauawe? Au kuamini viungo vya maalbino au ngozi ya upara kutoka kwenye kichwa cha mtu mwenye upara ni utajiri? Au ukimpiga mtu nondo na kuipeleka kwa mganga hiyo nondo utakuwa tajiri?
Kuna mambo tukiyaongea kiwepesi tutaishia kui mislead jamii.
 
Kama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.
By the way, kama tamaduni ni hizi utaanzia wapi kupata idea au mizuka ya ku kiss
View attachment 2774071View attachment 2774072View attachment 2774073View attachment 2774074
Sahihi ila tunabadilika kwa mifumo yetu.wabadulike kwa mifumo yao .sisi ni hatujawahi waingilia wala waongelea
Unajua wanaona kunyeana midomoni ni sawa ??
 
Kama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.
By the way, kama tamaduni ni hizi utaanzia wapi kupata idea au mizuka ya ku kiss
View attachment 2774071View attachment 2774072View attachment 2774073View attachment 2774074
Huwa unabusu mkeo hadharan nje ya siku ya ndoa??Zaman ilikuwa na bikra inatolewa hadharan
 
Kuhusu ubaguzi huo ni mtazamo wako, usitake kuwaaminisha wengine, tangu lini watu weusi tukasalimiana kwa kupigana mambusu?, huo ni utamaduni wa wazungu, na sisi utamaduni wetu ni kusalimiana kwa kushikana mikono kama walivyofanya hapo.
Umetembea kwenye jamii zote za watu weusi? Nenda Sudan, Eritrea, Ethiopia na Somalia uone wanasalimianaje?
 
Back
Top Bottom