Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Uislamu sio dini kwa tafsiri hiyo .nakuja sitojishusha utajua Magu haiUkristo siyo dini.
Says some one ambaye hata technolojia, elimu na kila kitu chake ni matokeo ya wageni.Hata isipokuwa dini shida nini? Hebu tuache kuoigania hii midini ya wageni
Muafrika habusu mtu wa jinsia moja .ni itamadunishoSays some one ambaye hata technolojia, elimu na kila kitu chake ni matokeo ya wageni.
Huwa nina heshima kubwa kwa mtu asiyeamini kuliko yule anayeng'ang'ania kuwa tuacheni na vya wageni, mara tukaamini miungu yetu. Hao ni aina ya watumwa wasiojielewa ambao ni utumwa mkubwa kuliko.
Sasa tofautisha ‘Imani’ (unproven) na technology (proven).Says some one ambaye hata technolojia, elimu na kila kitu chake ni matokeo ya wageni.
Huwa nina heshima kubwa kwa mtu asiyeamini kuliko yule anayeng'ang'ania kuwa tuacheni na vya wageni, mara tukaamini miungu yetu. Hao ni aina ya watumwa wasiojielewa ambao ni utumwa mkubwa kuliko.
Ndiyo maana nikakwambia, nina heshima kubwa sana kwa yule aliyeamua kutoamini, kuliko yule anayesema 'achaneni na vya wageni'.Sasa tofautisha ‘Imani’ (unproven) na technology (proven).
Kawaida sanaKADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI
View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.
Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.
Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko[emoji17] ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.
Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi [emoji24]
Uislam ni Dini ya MajiniUkristo siyo dini.
Proven, local au foreign, hakuna sababu ya kuikataa kama ina faida. Imani (unproven), at the very least kwa kitu unproven, basi twende na cha kwetu, maana hakuna ushahidi kama imani foreign ni bora kuliko local.Ndiyo maana nikakwambia, nina heshima kubwa sana kwa yule aliyeamua kutoamini, kuliko yule anayesema 'achaneni na vya wageni'.
Hiyo technology unayosema ni proven kwani siyo ya wageni?
Unapojipanga kwa ajili ya yajayo kwani ni proven kwamba utaishi kuiona kesho? Si unafanya kwa imani tu but not guranteed?
Imani ni pana, hauwezi ukaikimbia, unachoweza kufanya ni kujidanganya tu kwamba hauamini wakati kiukweli Imani ni miongoni mwa mising inayobeba utimamu wa akili mtu.
Kama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.Muafrika habusu mtu wa jinsia moja .ni itamadunisho
'Cha kwenu' kuamini kuwa kuzaa mapacha au walemavu ni laana na hivyo inabidi wauawe? Au kuamini viungo vya maalbino au ngozi ya upara kutoka kwenye kichwa cha mtu mwenye upara ni utajiri? Au ukimpiga mtu nondo na kuipeleka kwa mganga hiyo nondo utakuwa tajiri?Proven, local au foreign, hakuna sababu ya kuikataa kama ina faida. Imani (unproven), at the very least kwa kitu unproven, basi twende na cha kwetu, maana hakuna ushahidi kama imani foreign ni bora kuliko local.
Sahihi ila tunabadilika kwa mifumo yetu.wabadulike kwa mifumo yao .sisi ni hatujawahi waingilia wala waongeleaKama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.
By the way, kama tamaduni ni hizi utaanzia wapi kupata idea au mizuka ya ku kiss
View attachment 2774071View attachment 2774072View attachment 2774073View attachment 2774074
Huwa unabusu mkeo hadharan nje ya siku ya ndoa??Zaman ilikuwa na bikra inatolewa hadharanKama ni kihistoria na kiutamaduni, basi Siyo tu kubusu mtu wa Jinsia moja bali hata kissing mwanamke hadharani si kati utamaduni wa kawaida au maarufu miongoni mwa tamaduni nyingi za kiafrika, South Sudan ni kawaida.
By the way, kama tamaduni ni hizi utaanzia wapi kupata idea au mizuka ya ku kiss
View attachment 2774071View attachment 2774072View attachment 2774073View attachment 2774074
KWAKWELI, ... SIKU NYINGI SIJASHUHUDIA WANAWALI WAZURI WAKIZIKWA NA MTEMI!Zamani tunasalia chini ya miti mbn ilikua frsh tu sio mbaya kama utamaduni itarudishwa
Na Mtume ni nani?!Kwa mujibu wa mtume.
Sawa!! Kubong'oa ndio diniUkristo siyo dini.
Kwanini hajàpewa salamu kama wenzake?Sijaona ubaguzi hapo, hizo salamu za kukumbatiana sio asili yetu
MwamposaNa Mtume ni nani?!
Umetembea kwenye jamii zote za watu weusi? Nenda Sudan, Eritrea, Ethiopia na Somalia uone wanasalimianaje?Kuhusu ubaguzi huo ni mtazamo wako, usitake kuwaaminisha wengine, tangu lini watu weusi tukasalimiana kwa kupigana mambusu?, huo ni utamaduni wa wazungu, na sisi utamaduni wetu ni kusalimiana kwa kushikana mikono kama walivyofanya hapo.