Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.Khaaa...sanamu? Bora basi angempa bible!
Da bado napata simanzi kusema ukweliKadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
View attachment 1765445
View attachment 1765446
View attachment 1765447
View attachment 1765448
Hio meza imefanana kama jeneza bhana wabongo hatuchelewi kusema lile jeneza walirudi nalo nyumbani maana walituficha kwenye kushusha jenezaKadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
View attachment 1765445
View attachment 1765446
View attachment 1765447
View attachment 1765448
Ili alisujudu. Hujaona kwenye picha mama alivyolibusu? Hapo roho kwatu.Sasa hilo Sanamu la kazi gani?
litakua linamfariji pindi akimuwaza jiweSasa hilo Sanamu la kazi gani?
[emoji3516]Khaaa...sanamu? Bora basi angempa bible!
Yaan mm sanamu zao hapana jaman ..kwa kazi gani? KhaaaKwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.
Kitabu kama Zaburi kina maneno ya kutia moyo na faraja kwenye nyakati ngumu,kama anaopitia huyo mama.
Sanamu ni nini?Kazi yake ni nini?Kama huelewi kitu unauliza.Katika imani katoliki sanamu ni sehemu ya vitu vinavotumika katika ibada mbalimbali.Sasa hilo Sanamu la kazi gani?
Sanamu ya kuchonga🤗SANAMU!!!!!!