Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

Dah! Kardinali nae kazingua! Ona sasa michango kutoka kwa hawa Wakatekumeni wasio ufahamu Ukatoliki kwa undani walivyo ishupalia hiyo sanamu ya Mama Bikira Maria!!

Ni Wakatoliki pekee ndiyo wanao zitambua nguvu za Mama Bikira Maria Mlinzi wa Wagonjwa.
 
Hatari sana sheikh wangu ..nikajua mlinzi wa wagonjwa ni Mungu na mwanae Yesu !
 
Kwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.

Kitabu kama Zaburi kina maneno ya kutia moyo na faraja kwenye nyakati ngumu,kama anaopitia huyo mama.
Sanamu ina maana yake kubwa .
Souvenir
 
Back
Top Bottom