Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ila kweli....!°akitulize tuMjane ana mahela mengi mwendazake alijichukulia kwenye maakaunti ya kina Mo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli....!°akitulize tuMjane ana mahela mengi mwendazake alijichukulia kwenye maakaunti ya kina Mo...
Mayanga construction haoMilango kama ya Kanisa!
Vizuri kumtembelea mjane huyu na kumtia moyo.Pia tusiwasahau na wengine, wapo akina Maria Ana na yule mama wa Zenji nao wanahitaji faraja bado.ujane hauzoeleki.Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
View attachment 1765445
View attachment 1765446
View attachment 1765447
View attachment 1765448
Mwendazake lilikuwa janja sana. Linakuita mnyonge linakuacha ujisifie unyonge wako huku linakupiga sachi kwa wallet yako.Ila kweli....!°akitulize tu
I see Mbowe is a pain in your a.ssMbowe amepata chanjo ya corona.
Je nyumbu wake je?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Mwendazake lilikuwa janja sana. Linakuita mnyonge linakuacha ujisifie unyonge wako huku linakupiga sachi kwa wallet yako.
Saaana aseee yaan Kama mama yake Ben Saanane nae sijui yupo katika hali gani. Bwana alitoa na bwana ametwaaDa bado napata simanzi kusema ukweli
Hivi huyu Pengo hajapeleka sanamu kwa wale twiga mwendazake aliwapandisha pickup...Mayanga construction hao
Pengo aache ubaguzi kuna twiga wale waliopandishwa pickup wamefiwa na waume zao kwa kuliwa na Simba. Awapelekee sanamu nao wapate faraja....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Kwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.
Kitabu kama Zaburi kina maneno ya kutia moyo na faraja kwenye nyakati ngumu,kama anaopitia huyo mama.
Wakristo hawanaga 40!Hakuna 40 ya kitaifa?
Wakafungwa Macho eti wasirudiHivi huyu Pengo hajapeleka sanamu kwa wale twiga mwendazake aliwapandisha pickup...