Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

Karnali Pengo na Mama Janeth hawajavaa barakoa sababu wanamwamini Mungu wao sana hao wengine wapagani wamevaa barakoa sababu hawana imani na Mungu wao
Comrade unasemaje ?
1619533430534.png

NB:
Comrade nitakuletea zawadi ya Sanamu ya Mwendazake.
 
hayo madharau ndo yaliyoleta huu msiba mkubwa kwa taifa hili
Kifupi mapdte na maaskofu na mikelele yote ya kutaka waumini wavae barakoa waumini wamewagomea

Kuna miungu wawili ndani ya katoliki kwa sasa Mungu dhaifu asiye na nguvu ya kupambana na Korona huyo anaabudiwa na mapadre na maaskofu na papa

Halafu kuna Mungu mwingine mwenye nguvu kubwa ya kupambana na korona huyo anaabudiwa na waumini

Magufuli aliabudu Mungu wa waumini na hakufa kwa Corona bali maradhi mengine ndio maana msiba wake viongozi wa serikali wakuu na madaktari wakuu hawakuvaa barakoa mapadre na maaskofu katoliki tu ndio wakawa na vibarakoa vyao midomoni!!! Nani anajua kuna korona zaidi ya viongozi wakuu wa serikali na waganga wakuu!!!
 
Kwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.

Kitabu kama Zaburi kina maneno ya kutia moyo na faraja kwenye nyakati ngumu,kama anaopitia huyo mama.
Sasa hilo Sanamu la kazi gani?
Ameenda kumchuria zaidi...sanamu ina msaada gani?
Khaaa...sanamu? Bora basi angempa bible!

Biblia ukijidai kuijua bila ya Elimu ya Dunia na Elimu ya Teolojia, utaishia kutafsiri kadiri ya mwisho wa upeo wako ulipoishia. Ndio maana kuna baadhi ya madhehebu ya Kiprotestanti, kila muumini anajiona anajua Teolojia. Hicho ndicho nionacho hapa; ukosefu wa maarifa!
 
Biblia ukijidai kuijua bila ya Elimu ya Dunia na Elimu ya Teolojia, utaishia kutafsiri kadiri ya mwisho wa upeo wako ulipoishia. Ndio maana kuna baadhi ya madhehebu ya Kiprotestanti, kila muumini anajiona anajua Teolojia. Hicho ndicho nionacho hapa; ukosefu wa maarifa!
Tueleze mwanatheolojia
 
Sanamu ni nini?Kazi yake ni nini?Kama huelewi kitu unauliza.Katika imani katoliki sanamu ni sehemu ya vitu vinavotumika katika ibada mbalimbali.
Unasema kama sielewi kitu niulize,

Sasa hiyo comment yangu huoni kua nimeuliza?

Au hukuiona alama ya kuuliza?!
 
Nasikia Kadinali ndie alomnusuru mke wa Mkwere dhidi ya Mwendazake alivyofungiwa Magogoni
 
Tazama inavyopendeza ndugu wakikaa pamoja kwa upendo,huku wakisaidiana katika shida mbalimbali za maisha.[emoji3590][emoji3590]
 
Back
Top Bottom