Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

litakua linamfariji pindi akimuwaza jiwe

kama dolls kwa watoto
Kutoka 20:4 “Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu”.
 
Umenikumbusha utoto ...amri za Mungu zote kichwani..dah .those days
 
Dah! Kardinali nae kazingua! Ona sasa michango kutoka kwa hawa Wakatekumeni wasio ufahamu Ukatoliki kwa undani walivyo ishupalia hiyo sanamu ya Mama Bikira Maria!!

Ni Wakatoliki pekee ndiyo wanao zitambua nguvu za Mama Bikira Maria Mlinzi wa Wagonjwa.
Tuna safari ndefu sana, tumekumbatia hizi mila za warumi za sanamu
Sanamu iwe na nguvu halafu Mungu atakuwa na nini sasa

1 Tim 2:5-6​

Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu; ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake.
 
Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu

View attachment 1765445

View attachment 1765446

View attachment 1765447

View attachment 1765448
Hivyo mtu akikigeuza kitu chochote, kuwa mbadala wa Mungu, huko ni sawa na kuabudu sanamu, ukiweka mdoli nyumbani kwako na kwenda kumpigia magoti na kumwomba kana kwamba ni Mungu, ujue hapo unafanya ibada za sanamu..

Ukitengeneza kinyago chenye sura ya mtakatifu Fulani labda Mariamu, au Bwana Yesu akiwa pale msalabani, kisha ukakihusianisha na mambo ya ibada kwa mfano kukisujudia, au kukiabudu, au kuombea dua zako kwa kupitia hicho, tayari hiyo ni ibada za sanamu,

Ukining’iniza picha ukutani ya mtu Fulani maarufu, au mnyama , au kitu Fulani kwa lengo la kukifanya kama kipatanishi chako na Mungu, au kitu chako kinachoweza kukupa bahati Fulani, hiyo tayari ni ibada za sanamu.

Hata ukipanda mti, au Ua fulani, ukiamini kuwa linaweza kukulinda, au kueleza hatma ya maisha yako, tayari hiyo nayo ni ibada za sanamu.

Kumbukumbu 16:21 “Usipande mti uwao wote kuwa Ashera kwako kando ya madhabahu utakayofanya ya Bwana, Mungu wako.”
Na ni machukizo makubwa sana mbele za Mungu, yanayomtia wivu kiasi cha Mungu kukupatilizia maovu hata ya baba zako, uone ni jinsi gani kitendo hicho kinavyomuudhi Mungu..

Ipo mifano mingi sana katika biblia, ya watu walioadhibiwa kwa makosa kama haya..Kumbuka hili ndilo lililowafanya wana wa Israeli wengi wasiione Kaanani, kadhalika hili ndilo lililochangia wana wa Israeli tena baadaye kuchukuliwa utumwani Babeli.

Hivyo kuhusianisha kitu chochote na Ibada ni hatari sana, Ibada zako zote zinapaswa zimwelekee Mungu peke yake.
 
Hapo ndio mjue ukristo wa pengo ulivyo wa ajabu
Kuabudu Sanamu ni nini? Na ibada za sanamu ni zipi?

Kuabudu sanamu: Katika agano la kale ni kitendo chochote cha kwenda kuabudu au kusujudia, au kutumika kitu kingine chochote, tofauti na Mungu mkuu mmoja aliye hai (YEHOVA).

Moja ya amri 10 Mungu alizowapa wana wa Israeli, ilikuwa ni pamoja na kujiepusha na ibada za sanamu za aina yoyote..

Amri ya pili inasema hivi..

Mbowe amepata chanjo ya corona.

Je nyumbu wake je?

Ameenda kumchuria zaidi...sanamu ina msaada gani?

Hongera Pengo kwa kumliwaza mama .

Ilikuaje kwa fimbo ya haruni iliyogeuka kuwa nyoka wa shaba?
Ungejadili mada na kuachana na dini za watu kwani ni mweupe tu kada hiyo.
Vipi usiyeabudu sanamu unayafuata yote ya kwenye hiyo biblia au umechagua vipande vyako kadhaa?
HESHIMU IMANI ZA WATU, MWACHE MUNGU AJITETEE MWENYEWE KAMA WANAKOSEA MUNGU ANGESHASEMA NAO ZAMANI.
Lakini wapo mpaka leo hii na wataendelea kuwepo na walikuwepo kabla ya hayo madhehebu yenu mengine.
 
Wakuu hapo ni chato, Dar au Dom?

Karibu kwetu Chato mkuu

1619528906486.png

1619528955131.png

1619528986126.png

1619529010015.png

1619529031917.png

1619529068705.png

1619529118117.png

1619529253371.png

1619529325880.png

1619531521311.png
 
Karnali Pengo na Mama Janeth hawajavaa barakoa sababu wanamwamini Mungu wao sana hao wengine wapagani wamevaa barakoa sababu hawana imani na Mungu wao
 
Back
Top Bottom