Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

Wakuu hapo ni chato, Dar au Dom?
 
Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu

View attachment 1765445

View attachment 1765446

View attachment 1765447

View attachment 1765448
IBADA YA SANAMU.

Kutoka 20:3-17 “Usiwe na miungu mingine ila mimi ...
Usiwe na miungu mingine ila mimi. “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia.

Wanataka mama wa watu amfuate mwendazake kwenye ziwa la........!
 
Sanamu ni nini?Kazi yake ni nini?Kama huelewi kitu unauliza.Katika imani katoliki sanamu ni sehemu ya vitu vinavotumika katika ibada mbalimbali.

Back
Top Bottom