Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Sanamu tena.....Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
View attachment 1765445
View attachment 1765446
View attachment 1765447
View attachment 1765448
nyumba ya mtakatifu mkuu wa malaika.Milango kama ya Kanisa!
Achana nao hao mkuu, hao ndio wale wanagombania mafuta kwa Mwaiposa mpaka wanauana!Dah! Kardinali nae kazingua! Ona sasa michango kutoka kwa hawa Wakatekumeni wasio ufahamu Ukatoliki kwa undani walivyo ishupalia hiyo sanamu ya Mama Bikira Maria!!
Ni Wakatoliki pekee ndiyo wanao zitambua nguvu za Mama Bikira Maria Mlinzi wa Wagonjwa.
Kama hujui kitu ni Bora ukanyamaza ili wenye kuhusika waendelee! Soma majibu ya hoja yenu kutoka kwa mtumishi Eloi Eloi hapa chini. Ni ndefu lakini unaweza kuisoma kidogo kidogo.Kwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.
Kitabu kama Zaburi kina maneno ya kutia moyo na faraja kwenye nyakati ngumu,kama anaopitia huyo mama.
Nadhani kampelekea uchuro... labda mwendazake alipenda sana sanais
Kwa busara kabisa mkuu na wewe utwambie kuna shida gani kwa kardinali kumtembelea Mama Magufuli na je kuna shida gani ikijulikana Kardinali kamtembelea?Tatizo sio kwenda kumtembelea Bali kulikua na ulazima gani iwe hadharani
Sanamu huwa haiombwiMakafir bana sasa unampa sanamu ili aliabudu?
Sanamu ni nini?Kazi yake ni nini?Kama huelewi kitu unauliza.Katika imani katoliki sanamu ni sehemu ya vitu vinavotumika katika ibada mbalimbali.
@FaizaFoxy tu naomba jibuSasa hilo Sanamu la kazi gani?
Kwamba unamaanish hiyo sanamu ya bikira Maria inanguvu?Dah! Kardinali nae kazingua! Ona sasa michango kutoka kwa hawa Wakatekumeni wasio ufahamu Ukatoliki kwa undani walivyo ishupalia hiyo sanamu ya Mama Bikira Maria!!
Ni Wakatoliki pekee ndiyo wanao zitambua nguvu za Mama Bikira Maria Mlinzi wa Wagonjwa.
I have no time to answer such kind of silly questions.Kwamba unamaanish hiyo sanamu ya bikira Maria inanguvu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app