Duuh! Kwahiyo niweke pembeni wote 2. Nianze upya kusaka mchumba?Sex ndio moyo wa ndoa. Huyo asiyekuridhisha, utaishia kuchepuka. Akigundua hakuna amani ndani. Huyo mtamu lkn tegemezi ukikwama kipato familia imekwama mazima, na huo utamu atapeleka kwa mwanaume mwingine.
Jiongeze.
Siyo kwamba sitaki ushauri ila najaribu kutoa dukuduku la hofu yangu kwa kila ushauri ninaopewa. Ni jukumu la kila mtoa ushauri kuongeza maelezo kutetea ushauri wakeMkuu unatakaje kwani?
Manake options mbili zote ulizoweka huzitaki....basi oa namba tatu ambaye hatumjui
Siyo kwamba sitaki ushauri ila najaribu kutoa dukuduku la hofu yangu kwa kila ushauri ninaopewa. Ni jukumu la kila mtoa ushauri kuongeza maelezo kutetea ushauri wake
Kwa Tanzania, mademu asilimia kubwa warembo sio wachapa kazi ni mambo ya social media tu. Na kama ni mtamu, ujue utamu anawapa na wengine pia labda kama unampa $$$ ya kutosha kweli kweli. Nawajua sana hawa mademu. Tulia tu. Huyo wa pili hakufai pia sababu hatakuridhisha maishani na itabidi utafute wa kukuridhisha. Kwa hio tulia. Utapata mrembo, mchapa kazi, na mwenye malengo, na asiyependa kuomba omba hela. Wapo, japo patience inahitajikaWabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.
1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye kidume haswa. Ile dhana ya territorial prestige ambayo ni kiu ya kila mwanaume, naisikia kwelikweli.
Lkn huyu dada ni mlegevu Sana (amelelewa kimayai, a.k.a mboga saba) hana anachojua zaidi ya selfie na kuingia social media. Mara 2 nilimpa mtaji wa kuanzisha biashara akakata tamaa na kuacha. Anataka apewe mpk vocha. Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
2. Wa pili ni mdada mwenye sifa za utafutaji na ucha Mungu. Ananipa ushauri na mipango ya kutafuta hela. Nikiitekeleza inafanikiwa. Hana tabia za kuomba omba hela ya kusuka, vocha n.k. Lugha yake, ongea yake ni mtulivu na mnyenyekevu. Na zaidi ya hapo ana moyo wa subira sana
Lkn kwenye mambo yetu yale ya kitandani hovyo kabisa. Hata nafsi yangu inafika mahali inaingiwa na "kanaa" (yaani ananikinai au ananichefua). Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
Kati ya wadada wenye sifa tajwa hapo juu ni yupi anafaa kuwa mke? Maana umri umesonga Sana nataka nioe. Na wahenga wanasema hakuna mwanadamu mkamilifu.
Sio kweli. Muda wote huo hajajifunza? Kama mwanzo ni mbaya, always unakuwa mbaya tu.Muoe namba mbili,masuala ya chumbani utamuelekeza na yeye atazidi kujifunza
Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.
1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye kidume haswa. Ile dhana ya territorial prestige ambayo ni kiu ya kila mwanaume, naisikia kwelikweli.
Lkn huyu dada ni mlegevu Sana (amelelewa kimayai, a.k.a mboga saba) hana anachojua zaidi ya selfie na kuingia social media. Mara 2 nilimpa mtaji wa kuanzisha biashara akakata tamaa na kuacha. Anataka apewe mpk vocha. Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
2. Wa pili ni mdada mwenye sifa za utafutaji na ucha Mungu. Ananipa ushauri na mipango ya kutafuta hela. Nikiitekeleza inafanikiwa. Hana tabia za kuomba omba hela ya kusuka, vocha n.k. Lugha yake, ongea yake ni mtulivu na mnyenyekevu. Na zaidi ya hapo ana moyo wa subira sana
Lkn kwenye mambo yetu yale ya kitandani hovyo kabisa. Hata nafsi yangu inafika mahali inaingiwa na "kanaa" (yaani ananikinai au ananichefua). Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
Kati ya wadada wenye sifa tajwa hapo juu ni yupi anafaa kuwa mke? Maana umri umesonga Sana nataka nioe. Na wahenga wanasema hakuna mwanadamu mkamilifu.
Halafu acha kutoa hela ya mtaji. Si uanzishe biashara umuajiri? Kwa nini unampa mtaji badala ya kuutumia wewe kufanya biashara yako binafsi?Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.
1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye kidume haswa. Ile dhana ya territorial prestige ambayo ni kiu ya kila mwanaume, naisikia kwelikweli.
Lkn huyu dada ni mlegevu Sana (amelelewa kimayai, a.k.a mboga saba) hana anachojua zaidi ya selfie na kuingia social media. Mara 2 nilimpa mtaji wa kuanzisha biashara akakata tamaa na kuacha. Anataka apewe mpk vocha. Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
2. Wa pili ni mdada mwenye sifa za utafutaji na ucha Mungu. Ananipa ushauri na mipango ya kutafuta hela. Nikiitekeleza inafanikiwa. Hana tabia za kuomba omba hela ya kusuka, vocha n.k. Lugha yake, ongea yake ni mtulivu na mnyenyekevu. Na zaidi ya hapo ana moyo wa subira sana
Lkn kwenye mambo yetu yale ya kitandani hovyo kabisa. Hata nafsi yangu inafika mahali inaingiwa na "kanaa" (yaani ananikinai au ananichefua). Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
Kati ya wadada wenye sifa tajwa hapo juu ni yupi anafaa kuwa mke? Maana umri umesonga Sana nataka nioe. Na wahenga wanasema hakuna mwanadamu mkamilifu.
apeMzeya chukuwa huyo mwenye tako na anayajua mauno kitandani.
Anapenda sana hela, unafikiria atagongwa na jamaa milele na sio independent. Jamaa atachoka kumpa $$$, atatafuta wengine wa kumkidhi mahitaji. Either ata-share na wengine aua ataachwa labda kama atakuwa anatoa tu milele. Na mwanaume unayehonga mwanamke hivyo mimi huwa siwaelewi kabisa wanaume wenzangu.
ape
Sio kweli. Muda wote huo hajajifunza? Kama mwanzo ni mbaya, always unakuwa mbaya tu.
Nimejaribu kufikiria hili pia mkuu lkn nikaishia kwenye mtanziko tu. Ndiyo maana nikaja kwenu kuomba mawazo na uzoefu wenuwe unaona yupi unaweza kuvumilia kasoro zake?
niamini mimi, deep down kuna mmoja moyo wako unakwambia kabisa kwamba unaweza kummudu. nahisi nafsi yako imeangukia kwa namba moja.Nimejaribu kufikiria hili pia mkuu lkn nikaishia kwenye mtanziko tu. Ndiyo maana nikaja kwenu kuomba mawazo na uzoefu wenu
huyo namba mbili anamchefua jamaa. neno kuchefua ni zito sana, mi hapo nishaweka cross, huyu jamaa hana stim nae hata chembe.Mm ni mtu mzima nimesha kutana na wanawake wa kila aina mwanamke anae jua sana mapenzi jua kafundishwa na wenzako huyo ambae hajui jua hajakutana na mabaharia kwahiyo mm naona huyo ambae hajui kitu ndio mzuri maana ukimfundisha utafaid mwenyewe
Sawa mkuu. Lkn kutoridhika hakusababishwi na mapungufu ya ufundi tu. Siyo msafi wa nguo za ndani, na kufuli lake. Mkimaliza kufanya majamboz anaweza akajipangusa na nguo tu akalala mpk asubuhi. Siyo msafi. Haya yanarekebishika? Anavyo respond kwenye hisia zake wakati wa kugegedana ni very awkward.Mm ni mtu mzima nimesha kutana na wanawake wa kila aina mwanamke anae jua sana mapenzi jua kafundishwa na wenzako huyo ambae hajui jua hajakutana na mabaharia kwahiyo mm naona huyo ambae hajui kitu ndio mzuri maana ukimfundisha utafaid mwenyewe
Kweli mkuu. Binafsi namba moja anapata marks nyingi. Lkn hizo weakness zake ndiyo shidaniamini mimi, deep down kuna mmoja moyo wako unakwambia kabisa kwamba unaweza kummudu. nahisi nafsi yako imeangukia kwa namba moja.