nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 479
- 671
Oa unayempenda kwa sababu utaweza kumvumilia na mapungufu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noted.Kamqa unahitaji mke kwa ajili ya kukustarehesha cha urembo anakufaa ila kama unahitaji mke kwa ajili ya kujenga familia nadhani huyu wa pili anakufaa
Siyo rahisi mkuu, ni ngumu Sana. Unakuta AKILI nataka umuoe namba 2 lkn HISIA inapinga na kutaka umuoe namba mojamuda wa kuoa ukifika, ntafanya maamuzi sahihi
Namba moja anagusa Sana hisia zangu mkuu. Lkn vipi hayo mapungufu yake hayawezi kugeuka kuwa jela kwangu?Oa unayempenda kwa sababu utaweza kumvumilia na mapungufu yake
It will get easier.......niamini mimiNamba moja anagusa Sana hisia zangu mkuu. Lkn vipi hayo mapungufu yake hayawezi kugeuka kuwa jela kwangu?
Mke ni msaidizi, hata vitabu vya dini vimeeleza
Kama unahitaji pambo ndani ya nyumba yako, muoe huyo chaurembo mlegevu, siku ikitokea haupo watoto wako watanyanyasika sana kwa sababu bi chaurembo hataweza kusimama au kupambana na uhalisia wa maisha, na hata kama kuna miradi umeanzisha itakufa, nyumba atauza na wisho wa siku vya kuuza vikiisha atajiuza yeye na watoto anawez akauza kabisaa
Maana halisi ya msaidizi sio tu kitandani, bali ni kwenye dhana nzima ya maisha pamoja na malezi ya familia/watoto
Nawaza tu huyo mlegevu hata kulea mtoto itakua ni kazi sana. Unaweza kuishia kufuliwa chupi na housegirl chaurembo yeye ni insta, kufuga ku ha na miguu juu mwisho wa siku unamuona housegirl ni bora kukiko hata wife
Kuna mdau alikuja humu akasema haoni sababu ya kuwa na mke kwa sababu kila kitu ndani ya nyumba anafanya housegirl kuanzia usafi mpaka malezi ya watoto
Kamqa unahitaji mke kwa ajili ya kukustarehesha cha urembo anakufaa ila kama unahitaji mke kwa ajili ya kujenga familia nadhani huyu wa pili anakufaa
Jaribu kumrekebisha mambo madogo madogo na umfundishe mautundu, mpe muda wankumuobserve kama anafundishika then from there ufanye maamuzi
Exactly how my advice would've been.Oa mwenye tako
Hakuna anaefaa kati ya hao mkuu.Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.
1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye kidume haswa. Ile dhana ya territorial prestige ambayo ni kiu ya kila mwanaume, naisikia kwelikweli.
Lakini huyu dada ni mlegevu Sana (amelelewa kimayai, a.k.a mboga saba) hana anachojua zaidi ya selfie na kuingia social media. Mara 2 nilimpa mtaji wa kuanzisha biashara akakata tamaa na kuacha. Anataka apewe mpk vocha. Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
2. Wa pili ni mdada mwenye sifa za utafutaji na ucha Mungu. Ananipa ushauri na mipango ya kutafuta hela. Nikiitekeleza inafanikiwa. Hana tabia za kuomba omba hela ya kusuka, vocha n.k. Lugha yake, ongea yake ni mtulivu na mnyenyekevu. Na zaidi ya hapo ana moyo wa subira sana
Lakini kwenye mambo yetu yale ya kitandani hovyo kabisa. Hata nafsi yangu inafika mahali inaingiwa na "kanaa" (yaani ananikinai au ananichefua). Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.
Kati ya wadada wenye sifa tajwa hapo juu ni yupi anafaa kuwa mke? Maana umri umesonga sana nataka nioe. Na wahenga wanasema hakuna mwanadamu mkamilifu.
Oa wote ili wa-complete each otherWabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.