Kadogo, kazuri katamu Vs mtafutaji, mcha Mungu na mzembe wa kwichikwichi

Oa unayempenda kwa sababu utaweza kumvumilia na mapungufu yake
 
Aisee niko kwenye exact situation kama yako. For the time being imebidi niwe nao wote wawili. Deep down nampenda huyo mwenye sifa za namba 1 japokuwa najua kabisa hanifai kama mke. I hope muda wa kuoa ukifika, ntafanya maamuzi sahihi
 
Kamqa unahitaji mke kwa ajili ya kukustarehesha cha urembo anakufaa ila kama unahitaji mke kwa ajili ya kujenga familia nadhani huyu wa pili anakufaa
Noted.
 
Akili kubwa hii 👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽

 
Hakuna anaefaa kati ya hao mkuu.

Mtafute malaika ufunge nae ndoa😏😏
 
Umri uliokuwa nao ukishindwa tatua icho kitendawili chako. Subir mpaka utakapoweza tatua icho kitendawili
 
Angalia kati ya hayo mapungufu ni yapi unaweza kuyavumilia.Utakaloona linavumilika kuishi nalo beba hiyo toto na hzo weakness
 
Wooiii ningeenda na namba mbili bablai hayo mengine tutaelekezana taratibu kupitia kama sutra.
 
Oa wote ili wa-complete each other
 
Katika maisha ya mahusiano,hasa linapofikia suala la kutaka kumuoa nani,hapo panahitaji maamuzi binafsi bila kushauriwa ili kumpata yule unaemuona atafaa kuwa na wewe kwa sababu ya maendeleo yako na ya watoto wenu mnaotarajia kuwapata baadae
 
kwenye hii dunia ukitafuta kilichokamilika utasubiri mpak safar yako itakamilika hujakion tena ww una bahati wao naona cv zao ziko vizuri kweli wenzio unakuta dem kinachombeba kalio tu vingin ovyo...Apo nakushauri chagua unaempenda alaf mengine yatabadilika mbele ya safari...Uzuri ni kwamba tokea dunia iumbwe hakuna kasoro iliyoshindwa kurekebishika either kwa uwezo wa kibinadam au kwa rehema za Baba Muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…