Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

Kwanza nianze kwa Kumshukuru Mama samia!
Kipindi cha 2021 tuliambiwa na kadogoso kuwa reli imefikia 50 asilimia
Alishasahau, Nov 2023 alisema imefika 99% leo imeshuka 78% haya yeye mwenyewe hajui ipo % ngapi
 
KIKAO kiliamua hapa ni kusifuuuu mwanzo mwisho mpaka inase vichwani mwahawa wajinga tuendelee kufaidi vyeo vyetu na kodi zao...
Mnamwimbaaa mpaka kilamtu aitikie wimbo wenu maana bongo Kila tangazo ni kawimbo kakukaririsha watu!!
 
Nawaza tu hapa, Watoto aliozaa, Kama watarithi akili yake, sijui itakuwaje siku za huko mbeleni. 🤒🤒
Watoto wanasoma ulaya,monthly take home yake ni zaidi ya M30,bado anazoibia serikari ba rushwa,sio mwenzako huyo,chawa ni sekta inayokua kwa kasi sana nchini bila kujali elimu wala cheo cha chawa
 
Watoto wanasoma ulaya,monthly take home yake ni zaidi ya M30,bado anazoibia serikari ba rushwa,sio mwenzako huyo,chawa ni sekta inayokua kwa kasi sana nchini bila kujali elimu wala cheo cha chawa
Mwisho wa chawa ni nini?, Huoni kama kuna hasara siku zijazo....

Mimi sizungumzii kipato chake, nasemea kuhusu akili yake....
 
Back
Top Bottom