Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wengine zaidi ya wamiliki wa mabasi yaendayo hizo sehemu ambazo SGR inaenda.....adhabu pekee kwao ni kuwafirisi tu na kuwaua baaaaasi kwani wanahujumu uchumi na maendeleo ya nchi.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Ikulu ni issue nyingine ndugu. Tatizo letu nadhani linasababishwa na mambo mengi kama vile uvivu, tamaa (hasa za kutaka maendeleo ya harakaharaka), kupenda vitu (mambo) makubwa kuliko uwezo wetu, wizi, uongo, utapeli, kupuuzia mambo (kutojali) na mengineyoKama tumeshindwa kusimamia vilivyopo tunakazi gani
Shujaa yule kichaa ni yule asiyejuwa kuwa yeye ni rais japo cheo kinamtaja hivyoShujaa Magufuli au Kichaa Magufuli? Hebu nyoosha maelezo Joe.
Hao wanajua kuidhibiti Chadema na kuisaidia CCM kuiba kura tu.Hapo sasa ndio huwa tunataka kuona kazi ya TISS, JW, POLISI ETC. Tulindieni vitu vyetu vizuri. Nchi inamapungufu mengi ila kwenye mambo ya maana kama SGR tuwe wakali wakuu.
"Majizi makubwa yako huku kwenye chama changu ccm, ni vigumu sana kuyashughulikia, niombeeni" alisikika jukwaaniUnakuta mhujumu ni MTU mkubwa ndani ya chama tawala na mchangiaji mkuu wa Hali na Mali wa shughuli za chama,
SahihiNi viongozi wakubwa wa CCM wapo na mawaziri kitachofuata ni yeye kuondolewa pale TRC
Tatizo kubwa ni viongozi wa CCM machawa wenye kusifia na hawana akili za uongoziKufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Shida yaweza isiwe Kadogosa, shida ni serikali na CCM nzima. Ina maana hii nchi kila mkurugenzi wa shirika huwa ni kichaa?Yule Kadogosa ni mjinga kabisa, na ameshahisi anakwenda kufukuzwa, wote tunajua na tunaona uwezo duni wa watumishi wa umma kuweza kuendesha miradi. Mchawi mkuu wa TRC ni TRC wenyewe wakishirikiana na CCM na kwa hakika SGR itakufa kama inavyokufa mwendokasi.
Visingizio vimeanza, watuhumiwa wa mwanzo walikuwa msanii wa sarakasi mr. Nyani akishirikiana na msomi Bundi.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃