Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Anayesifiwa huu ujinga naye akakaa kimya ndo wa kushangaa.Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania
Zaidi soma hapa:
"Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
View attachment 2944220View attachment 2944221