Kadogosa: Kwenye Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki, Rais Samia kawazidi Wajerumani

Anayesifiwa huu ujinga naye akakaa kimya ndo wa kushangaa.
 
Kujipendekeza ni kipaji kwenye hii nchi aiaeee
 
China unanyongwa uongo ni sumu ya maendeleo!
 
Pigia msumari Samia ,kamatia hapo hapo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

View: https://www.instagram.com/p/C46HQmRt10N/?igsh=MTg2MzlybnFpNm81MQ==
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukweli unabakia pale pale-Tunapiga hatua.


Wote mmejikusanya hapa Team Mbowe na Samia-Ua Hayati
Team Samia pekee-Ua Hayati
Team Mbowe-Bila Samia-Ua Hayati
Team Ukoloni mamboleo na Samia-Ua Hayati
etc etc etc

Sifa ziende zinapostahili, piga ua.

Itoshe haya yapo katika wanja la siasa duniani kote-au na huko pia "mtamsingizia" Hayat Rais Magufuli ndie alie anzisha?
 
Sina shida na machawa najua wanaisala riziki ila najiuliza,,,Hivi wanaosifiwa hakuna hata wakati wanahisi aibuu Kwa kauli za machawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…