Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

mkuu nashukuru kwa uchambuzi huu, kama unaweza kunielezea zaidi nielezee mkuu
Halafu mbona hii treni ni tofauti na zile za marekani, china na japan hii ya kwetu ina pua pana kama ya kinjekitilingwale embu ona hapa chini👇
Mpaka karanga zako kwa ajiri ya kutafuna tuu
 
HABARI WAKUU,
Hii imekaaje wadau,
nilisafiri na kijana wangu kipindi shule zimefunguliwa kutoka dar kwenda moro nililipa sh, 13,000 na kijana wangu ikawa ni 6,500 sasa hivi nikitaka kukata Tiket mtandaon naambiwa gharama ya mimi tu ni 20,000 asa hapa wananivuruga eti shida ipo wapi kwaanaejua tafadhari
Na
 
Labda demand ipo juu hivyo imeivuta price
 
Chagua ordinary line!
Screenshot_2024-08-15-19-28-31-24_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Ewaaaa nilifika hapo ila kwenye nauli ikaja 20 au ile ya saa 6:00 asubuhi ni Express tu?
 
Express naichagulia wapi
Hii selection ina maana gani👇

Screenshot_20240815_195353_Samsung Internet.jpg
 
Hiki kituo cha Mkata ni kipya? Kipo wapi?

SmartSelect_20240815_201934_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom