Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Hujitambui wewe,peleka upuuzi wako huko
 
Wewe utakuwa na matatizo ,kwa hiyo kuwa more informed ni kushinikiza mkandarasi wa mfukoni aliyekoti bei ya Juu?

Serikali ingempa Yap Merkez kipande cha Mwanza tungepigwa Tilioni 2,kwako hii ni sawa?

Ukiacha bei ndogo ya mchina ,nani ni mtaalamu mahiri wa reli Kati ya Merkel na China?
👇

PPRA hawa jamaa ni wala rushwa balaa .ndo maana kuna watu wako nyuma yao kwa kisingizio cha sheria ya manunuzi .single sourcing ndo mpango mzima sio lazima kuwe na competitive rendering.
 
Ndo ujue sasa jpm hakuwa kilaza mama anaruhusu hawa mafisadi kwa kigezo cha sheria zaa manunuzi PPRA
 
PPRA hawa jamaa ni wala rushwa balaa .ndo maana kuna watu wako nyuma yao kwa kisingizio cha sheria ya manunuzi .single sourcing ndo mpango mzima sio lazima kuwe na competitive rendering.
Ulivyo mpumbavu,nani mla rushwa anaetaka single source Ili tupigwe Til.2 na anaetaka ushindani Ili kuzuia upigaji? Mna akili timamu kweli nyie au mnatetea wizi mliyokuwa mnatupiga kwa kutumia kampuni zenu za mfukoni ambazo mlizitafuta kinyemela na kukubaliana bei za uongo?

Rais akiitisha uchunguzi kwenye sgr na Bwawa la Umeme tutakamata wengi mliojificha kwenye kichaka cha uzalendo huku mkiibia wananchi.
👇

Mmmmh
 
Huna hoja lazima ujifariji

Tunakusanya taarifa za kiintelijensia kufahamu kwa nini mtu wenu anashinikiza kampuni ya mfukoni Ili tupigwe pesa.
Najua wewe ni opportunity na upo humu KWA ajili ya kuwatetea mafisadi wenzio,Wacha nikupe dili ya udalali ,Kama una mtu wa Clearance and forwarding nistue,kuna Gari nataka kuagiza nje ntakutoa kidogo.
 
Walitupiga sana tena kwa jeuri kuu .
Just imagine DAB aliwahi kupanda jukwaani na kuwatangazia watanzania kuwa yeye ndiye kijana anayekula maisha ya kipekee hapa nchini.
DAB ndo nani?
 
Kwa hiyo sheria za manunuzi zipindishwe? Mngoje muwe na republic yenu mfanye upumbavu huo!
 
Wewe ni mpumbavu wa mwisho,kuna mradi utafanywa bila technical specifications? Hivi kichwa chako kimejaa mavi au? Kwa hiyo mchina anapojenga kipande cha Mwanza Isaka anajenga bila technical specifications?

Aisee nimeamini majizi hamna haya kabisa wala kuonea huruma kodi za mliokuwa mnawaita Wanyonge ,infact serikali imeokoa Til.2 vinginevyo Tulikuwa tunapigwa na sukuma gang na mkandarasi wao wa mfukoni.
👇

Kwa hiyo sheria za manunuzi zipindishwe? Mngoje muwe na republic yenu mfanye upumbavu huo!
Wapumbavu Sana hao,mpaka sasa nashaka na bei tunazomlipa Yap Merkez na Yule Mwarabu wa stiglaz ziko hiked ,kuna watu wanatupiga.

Saizi wanalazimisha Yap Merkez kwa sababu za kitoto na kipumbavu huku wakijua gharama yake ni kubwa zaidi ya washindani wake..

Mama amfukuze huyu Kadogosa mapema kabisa anatetea maslahi ya kundi lililomuweka hapo.
 
Najua wewe ni opportunity na upo humu KWA ajili ya kuwatetea mafisadi wenzio,Wacha nikupe dili ya udalali ,Kama una mtu wa Clearance and forwarding nistue,kuna Gari nataka kuagiza nje ntakutoa kidogo.
Upumbavu wako peleka kwenu ,nimekuuliza hapo nani fisadi anaetetea tupigwe au anaetaka sheria zifuatwe Ili tupate value for money?

Unaruka ruka kama maharage huna hoja stupid monkey 👇

Amebid kidogo lakini hela yote inarudi kwao na ujuzi .hivi umeona waturuki wanavyowaachia watanzania kazi .unajua unemployment rate ni kiasi gani kwa tanzania
 
Amebid kidogo lakini hela yote inarudi kwao na ujuzi .hivi umeona waturuki wanavyowaachia watanzania kazi .unajua unemployment rate ni kiasi gani kwa tanzania
Huwa sipendi mtu mwongo na anaetunga visababu vya kijinga..Mimi Niko kwenye sekta ya ujenzi na tunafanya Kazi na kampuni nyingi na Tzn hapa Wachina ndio wameshika soko la ujenzi..

Huko kote wahandisi na wafanyakazi 90% ni sisi WaTzn ,wachina wanakuwa kwenye top management tuu..

Sasa unaposema inarudi kwao how? Kanuni na sheria zinabadilika akiwa mchina? Local content iko pale pale lazima kuwe na technolocal transfer kama mkataba unavyotaka na ndio maana kuna consult na TRC.
 
Wee ni mtu wa PPRA lakin naona hujui kitu kwa mfano uliotoa
 
Wee ni mtu wa PPRA lakin naona hujui kitu kwa mfano uliotoa
Alafu PPRA hakuna anapofanya evaluation ya kuchagua contractor yeye Kazi yake ni ku enforce sheria ya manunuzi kwa hiyo msimsingizie kwenye mambo asiyohusika.

Sheria zifutwe kwani Yap anaogopa nini kushindana na wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…