Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Sisi ni sukuma mgegeje njoo tukusukumie nyuma
Tutawasukumia mpini kama tulivyofanya Tanesco .

Mumekalia moto 👇

Screenshot_20210926-071305.png

Screenshot_20210926-072652.png
 
PPRA ndio anasimamia tenda au Kazi yake ni kuhakikisha sheria ya manunuzi Inafuata? Uliwahi sikia PPRA ndio wanachagua contractor? Acha ushamba.

Kazi za wachina ziko mbaya wapi? Tzn hii barabara na majengo 3/4 wanafanya wachina sasa sijui wewe huo ubovu unauonaga wewe tuu au? Kama kuna ubovu hao mnaowalipa salary kusimamia ubora wa kazi wanakua wanafanya nini?

Tuache bei reasonable kwa ajili ya ujinga wa mtu au tukubali bei ya kupikwa kwa sababu za kipumbavu?

Upigaji ulizikwa Chato.
Hujitambui wewe,peleka upuuzi wako huko
 
Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.

Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.

Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi; kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.

Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakiona ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.

Sio miradi ya kichina ni wachina watupu wamejazana mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao wapo kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.

I am sick of these Chinese very selfish.

As it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wakubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Wewe utakuwa na matatizo ,kwa hiyo kuwa more informed ni kushinikiza mkandarasi wa mfukoni aliyekoti bei ya Juu?

Serikali ingempa Yap Merkez kipande cha Mwanza tungepigwa Tilioni 2,kwako hii ni sawa?

Ukiacha bei ndogo ya mchina ,nani ni mtaalamu mahiri wa reli Kati ya Merkel na China?
👇

Screenshot_20210926-070617.png

Screenshot_20210926-070827.png

Screenshot_20210926-070949.png

Screenshot_20210926-071047.png
 
Wachina wa enzi za Mao Tsetung hawapo.
Angalia barabara walijenga Kilwa road , hawa ni wapigaji mno. Ukute mvutano huo ni wengine kuona hawatapata kitu i.e 10% usifikiri hata hao RRRPPA wako kizalendo ni NO .
Wachina ni mabingwa wa kurobu na kutoa kitu.
Angalia quality utachekea chooni.
Mikataba ni siri mnooo, jambo hatarishi
PPRA hawa jamaa ni wala rushwa balaa .ndo maana kuna watu wako nyuma yao kwa kisingizio cha sheria ya manunuzi .single sourcing ndo mpango mzima sio lazima kuwe na competitive rendering.
 
Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.

Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.

Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi; kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.

Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakiona ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.

Sio miradi ya kichina ni wachina watupu wamejazana mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao wapo kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.

I am sick of these Chinese very selfish.

As it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wakubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Ndo ujue sasa jpm hakuwa kilaza mama anaruhusu hawa mafisadi kwa kigezo cha sheria zaa manunuzi PPRA
 
PPRA hawa jamaa ni wala rushwa balaa .ndo maana kuna watu wako nyuma yao kwa kisingizio cha sheria ya manunuzi .single sourcing ndo mpango mzima sio lazima kuwe na competitive rendering.
Ulivyo mpumbavu,nani mla rushwa anaetaka single source Ili tupigwe Til.2 na anaetaka ushindani Ili kuzuia upigaji? Mna akili timamu kweli nyie au mnatetea wizi mliyokuwa mnatupiga kwa kutumia kampuni zenu za mfukoni ambazo mlizitafuta kinyemela na kukubaliana bei za uongo?

Rais akiitisha uchunguzi kwenye sgr na Bwawa la Umeme tutakamata wengi mliojificha kwenye kichaka cha uzalendo huku mkiibia wananchi.
👇

Screenshot_20210926-070827.png

Screenshot_20210926-070949.png

Screenshot_20210926-071047.png
 
Habari wadau..

Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.

Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.

Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.

Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.

Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.

Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.

Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.

Karibuni kwa mjadala. 👇

View attachment 1951944

View attachment 1951945

View attachment 1951946

View attachment 1951947
Mmmmh
 
Huna hoja lazima ujifariji

Tunakusanya taarifa za kiintelijensia kufahamu kwa nini mtu wenu anashinikiza kampuni ya mfukoni Ili tupigwe pesa.
Najua wewe ni opportunity na upo humu KWA ajili ya kuwatetea mafisadi wenzio,Wacha nikupe dili ya udalali ,Kama una mtu wa Clearance and forwarding nistue,kuna Gari nataka kuagiza nje ntakutoa kidogo.
 
Walitupiga sana tena kwa jeuri kuu .
Just imagine DAB aliwahi kupanda jukwaani na kuwatangazia watanzania kuwa yeye ndiye kijana anayekula maisha ya kipekee hapa nchini.
DAB ndo nani?
 
Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.

Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.

Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi; kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.

Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakiona ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.

Sio miradi ya kichina ni wachina watupu wamejazana mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao wapo kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.

I am sick of these Chinese very selfish.

As it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wakubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Kwa hiyo sheria za manunuzi zipindishwe? Mngoje muwe na republic yenu mfanye upumbavu huo!
 
Yapi ana offer better product zaidi ya Mchina na within technical specifications

Sasa uliona wapi bei ina supercede Technical Specifications?

Wewe ni maiti au nini?Maana ile maiti ipo makaburini na nyie mna-act like wafu kama yeye to pay him homage

Nimesoma vizuri na sitaki kuelewa unavyotaka wewe...wewe kaa kushoto,kuelewa ni kazi yangu mimi msomaji na sielewi unavyo wish wewe.

Mtaishia poor services kutoka China na Turkey maana zote hizo ni poor service tupu

Huwezi kuleta superior world class service wa infrastructure kutoka nchi kama Germany hapa,hawawezi deal na upumbavu huu

Kila kitu ugomvi maana huna hela,Turkey anataka kukushinda unaenda kwa even poorer service provider Mchina.....nenda kwa huyo maiti baada ya 10 years SGR inavunja kama kawaida

Eti tunaokoa 1Tr,kwa expense of what?Kwa gharama za Technical Specifications non adherence....

Fanya kazi,fanya export,jenga uchumi huu upate hela ya kutosha kumleta Mjerumani hapa aweke 1000years worth of infrasture na uache umatako wa kulia lia na vita ya maneno

Yote hii ni poverty mentality
Wewe ni mpumbavu wa mwisho,kuna mradi utafanywa bila technical specifications? Hivi kichwa chako kimejaa mavi au? Kwa hiyo mchina anapojenga kipande cha Mwanza Isaka anajenga bila technical specifications?

Aisee nimeamini majizi hamna haya kabisa wala kuonea huruma kodi za mliokuwa mnawaita Wanyonge ,infact serikali imeokoa Til.2 vinginevyo Tulikuwa tunapigwa na sukuma gang na mkandarasi wao wa mfukoni.
👇

Screenshot_20210926-070827.png

Screenshot_20210926-071047.png

Screenshot_20210926-070949.png
 
Kwa hiyo sheria za manunuzi zipindishwe? Mngoje muwe na republic yenu mfanye upumbavu huo!
Wapumbavu Sana hao,mpaka sasa nashaka na bei tunazomlipa Yap Merkez na Yule Mwarabu wa stiglaz ziko hiked ,kuna watu wanatupiga.

Saizi wanalazimisha Yap Merkez kwa sababu za kitoto na kipumbavu huku wakijua gharama yake ni kubwa zaidi ya washindani wake..

Mama amfukuze huyu Kadogosa mapema kabisa anatetea maslahi ya kundi lililomuweka hapo.
 
Najua wewe ni opportunity na upo humu KWA ajili ya kuwatetea mafisadi wenzio,Wacha nikupe dili ya udalali ,Kama una mtu wa Clearance and forwarding nistue,kuna Gari nataka kuagiza nje ntakutoa kidogo.
Upumbavu wako peleka kwenu ,nimekuuliza hapo nani fisadi anaetetea tupigwe au anaetaka sheria zifuatwe Ili tupate value for money?

Unaruka ruka kama maharage huna hoja stupid monkey 👇

Screenshot_20210926-071047.png

Screenshot_20210926-070949.png
 
Acha porojo huwezi badili plan ya client unless mradi ni design and build napo unawasilisha design yako itakayokubalika ndio hiyo..

Kwa hiyo kama ubungo wakibadili wa kulaumiwa ni wachina au serikali? Sioni tatizo la wachina kwanza kushindana nao uwe umejipanga kwa teknolojia na Vifaa wao vyote wanavyo sio sawa na hao wazungu..

Kama mchina ana bei ndogo huyo ndio wa kwenda nae,mbona wamejenga barabara nyingi Sana Tzn na hakuna shida yoyote?
Amebid kidogo lakini hela yote inarudi kwao na ujuzi .hivi umeona waturuki wanavyowaachia watanzania kazi .unajua unemployment rate ni kiasi gani kwa tanzania
 
Amebid kidogo lakini hela yote inarudi kwao na ujuzi .hivi umeona waturuki wanavyowaachia watanzania kazi .unajua unemployment rate ni kiasi gani kwa tanzania
Huwa sipendi mtu mwongo na anaetunga visababu vya kijinga..Mimi Niko kwenye sekta ya ujenzi na tunafanya Kazi na kampuni nyingi na Tzn hapa Wachina ndio wameshika soko la ujenzi..

Huko kote wahandisi na wafanyakazi 90% ni sisi WaTzn ,wachina wanakuwa kwenye top management tuu..

Sasa unaposema inarudi kwao how? Kanuni na sheria zinabadilika akiwa mchina? Local content iko pale pale lazima kuwe na technolocal transfer kama mkataba unavyotaka na ndio maana kuna consult na TRC.
 
Yes sheria ya single sourcing ipo lakini ina wigo wake, ni lazima kuwe na some circumstances zinazoforce hiyo single source mfano unahitaji huduma ya kuunganishiwa umeme na kampuni iliyopo kwa sasa ni TANESCO peke yake, hapa sheria inaruhusu kutumia single source ila nje ya hapo mfano hii ya waturuki na wachina wote wanaweza kubid for tendering process.
Wee ni mtu wa PPRA lakin naona hujui kitu kwa mfano uliotoa
 
Wee ni mtu wa PPRA lakin naona hujui kitu kwa mfano uliotoa
Alafu PPRA hakuna anapofanya evaluation ya kuchagua contractor yeye Kazi yake ni ku enforce sheria ya manunuzi kwa hiyo msimsingizie kwenye mambo asiyohusika.

Sheria zifutwe kwani Yap anaogopa nini kushindana na wengine?
 
Back
Top Bottom