Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Sisi ni sukuma mgegeje njoo tukusukumie nyumaSukuma gang ni kama hawaoni Uzi [emoji2][emoji2]..
Wanataka mzalendo wao awatafutie 10%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ni sukuma mgegeje njoo tukusukumie nyumaSukuma gang ni kama hawaoni Uzi [emoji2][emoji2]..
Wanataka mzalendo wao awatafutie 10%
Tutawasukumia mpini kama tulivyofanya Tanesco .Sisi ni sukuma mgegeje njoo tukusukumie nyuma
Hujitambui wewe,peleka upuuzi wako hukoPPRA ndio anasimamia tenda au Kazi yake ni kuhakikisha sheria ya manunuzi Inafuata? Uliwahi sikia PPRA ndio wanachagua contractor? Acha ushamba.
Kazi za wachina ziko mbaya wapi? Tzn hii barabara na majengo 3/4 wanafanya wachina sasa sijui wewe huo ubovu unauonaga wewe tuu au? Kama kuna ubovu hao mnaowalipa salary kusimamia ubora wa kazi wanakua wanafanya nini?
Tuache bei reasonable kwa ajili ya ujinga wa mtu au tukubali bei ya kupikwa kwa sababu za kipumbavu?
Upigaji ulizikwa Chato.
Wewe utakuwa na matatizo ,kwa hiyo kuwa more informed ni kushinikiza mkandarasi wa mfukoni aliyekoti bei ya Juu?Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.
Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.
Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi; kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.
Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakiona ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.
Sio miradi ya kichina ni wachina watupu wamejazana mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao wapo kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.
I am sick of these Chinese very selfish.
As it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wakubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
PPRA hawa jamaa ni wala rushwa balaa .ndo maana kuna watu wako nyuma yao kwa kisingizio cha sheria ya manunuzi .single sourcing ndo mpango mzima sio lazima kuwe na competitive rendering.Wachina wa enzi za Mao Tsetung hawapo.
Angalia barabara walijenga Kilwa road , hawa ni wapigaji mno. Ukute mvutano huo ni wengine kuona hawatapata kitu i.e 10% usifikiri hata hao RRRPPA wako kizalendo ni NO .
Wachina ni mabingwa wa kurobu na kutoa kitu.
Angalia quality utachekea chooni.
Mikataba ni siri mnooo, jambo hatarishi
Huna hoja lazima ujifarijiHujitambui wewe,peleka upuuzi wako huko
Ndo ujue sasa jpm hakuwa kilaza mama anaruhusu hawa mafisadi kwa kigezo cha sheria zaa manunuzi PPRANadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.
Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.
Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi; kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.
Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakiona ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.
Sio miradi ya kichina ni wachina watupu wamejazana mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao wapo kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.
I am sick of these Chinese very selfish.
As it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wakubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Ulivyo mpumbavu,nani mla rushwa anaetaka single source Ili tupigwe Til.2 na anaetaka ushindani Ili kuzuia upigaji? Mna akili timamu kweli nyie au mnatetea wizi mliyokuwa mnatupiga kwa kutumia kampuni zenu za mfukoni ambazo mlizitafuta kinyemela na kukubaliana bei za uongo?PPRA hawa jamaa ni wala rushwa balaa .ndo maana kuna watu wako nyuma yao kwa kisingizio cha sheria ya manunuzi .single sourcing ndo mpango mzima sio lazima kuwe na competitive rendering.
MmmmhHabari wadau..
Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.
Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.
Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.
Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.
Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.
Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.
Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.
Karibuni kwa mjadala. 👇
View attachment 1951944
View attachment 1951945
View attachment 1951946
View attachment 1951947
Hapa nani kilaza wewe kima au unaropoka? 👇Ndo ujue sasa jpm hakuwa kilaza mama anaruhusu hawa mafisadi kwa kigezo cha sheria zaa manunuzi PPRA
Najua wewe ni opportunity na upo humu KWA ajili ya kuwatetea mafisadi wenzio,Wacha nikupe dili ya udalali ,Kama una mtu wa Clearance and forwarding nistue,kuna Gari nataka kuagiza nje ntakutoa kidogo.Huna hoja lazima ujifariji
Tunakusanya taarifa za kiintelijensia kufahamu kwa nini mtu wenu anashinikiza kampuni ya mfukoni Ili tupigwe pesa.
DAB ndo nani?Walitupiga sana tena kwa jeuri kuu .
Just imagine DAB aliwahi kupanda jukwaani na kuwatangazia watanzania kuwa yeye ndiye kijana anayekula maisha ya kipekee hapa nchini.
Kwa hiyo sheria za manunuzi zipindishwe? Mngoje muwe na republic yenu mfanye upumbavu huo!Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.
Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.
Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi; kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.
Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakiona ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.
Sio miradi ya kichina ni wachina watupu wamejazana mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao wapo kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.
I am sick of these Chinese very selfish.
As it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wakubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Wewe ni mpumbavu wa mwisho,kuna mradi utafanywa bila technical specifications? Hivi kichwa chako kimejaa mavi au? Kwa hiyo mchina anapojenga kipande cha Mwanza Isaka anajenga bila technical specifications?Yapi ana offer better product zaidi ya Mchina na within technical specifications
Sasa uliona wapi bei ina supercede Technical Specifications?
Wewe ni maiti au nini?Maana ile maiti ipo makaburini na nyie mna-act like wafu kama yeye to pay him homage
Nimesoma vizuri na sitaki kuelewa unavyotaka wewe...wewe kaa kushoto,kuelewa ni kazi yangu mimi msomaji na sielewi unavyo wish wewe.
Mtaishia poor services kutoka China na Turkey maana zote hizo ni poor service tupu
Huwezi kuleta superior world class service wa infrastructure kutoka nchi kama Germany hapa,hawawezi deal na upumbavu huu
Kila kitu ugomvi maana huna hela,Turkey anataka kukushinda unaenda kwa even poorer service provider Mchina.....nenda kwa huyo maiti baada ya 10 years SGR inavunja kama kawaida
Eti tunaokoa 1Tr,kwa expense of what?Kwa gharama za Technical Specifications non adherence....
Fanya kazi,fanya export,jenga uchumi huu upate hela ya kutosha kumleta Mjerumani hapa aweke 1000years worth of infrasture na uache umatako wa kulia lia na vita ya maneno
Yote hii ni poverty mentality
Wapumbavu Sana hao,mpaka sasa nashaka na bei tunazomlipa Yap Merkez na Yule Mwarabu wa stiglaz ziko hiked ,kuna watu wanatupiga.Kwa hiyo sheria za manunuzi zipindishwe? Mngoje muwe na republic yenu mfanye upumbavu huo!
Upumbavu wako peleka kwenu ,nimekuuliza hapo nani fisadi anaetetea tupigwe au anaetaka sheria zifuatwe Ili tupate value for money?Najua wewe ni opportunity na upo humu KWA ajili ya kuwatetea mafisadi wenzio,Wacha nikupe dili ya udalali ,Kama una mtu wa Clearance and forwarding nistue,kuna Gari nataka kuagiza nje ntakutoa kidogo.
Amebid kidogo lakini hela yote inarudi kwao na ujuzi .hivi umeona waturuki wanavyowaachia watanzania kazi .unajua unemployment rate ni kiasi gani kwa tanzaniaAcha porojo huwezi badili plan ya client unless mradi ni design and build napo unawasilisha design yako itakayokubalika ndio hiyo..
Kwa hiyo kama ubungo wakibadili wa kulaumiwa ni wachina au serikali? Sioni tatizo la wachina kwanza kushindana nao uwe umejipanga kwa teknolojia na Vifaa wao vyote wanavyo sio sawa na hao wazungu..
Kama mchina ana bei ndogo huyo ndio wa kwenda nae,mbona wamejenga barabara nyingi Sana Tzn na hakuna shida yoyote?
Huwa sipendi mtu mwongo na anaetunga visababu vya kijinga..Mimi Niko kwenye sekta ya ujenzi na tunafanya Kazi na kampuni nyingi na Tzn hapa Wachina ndio wameshika soko la ujenzi..Amebid kidogo lakini hela yote inarudi kwao na ujuzi .hivi umeona waturuki wanavyowaachia watanzania kazi .unajua unemployment rate ni kiasi gani kwa tanzania
Wee ni mtu wa PPRA lakin naona hujui kitu kwa mfano uliotoaYes sheria ya single sourcing ipo lakini ina wigo wake, ni lazima kuwe na some circumstances zinazoforce hiyo single source mfano unahitaji huduma ya kuunganishiwa umeme na kampuni iliyopo kwa sasa ni TANESCO peke yake, hapa sheria inaruhusu kutumia single source ila nje ya hapo mfano hii ya waturuki na wachina wote wanaweza kubid for tendering process.
Alafu PPRA hakuna anapofanya evaluation ya kuchagua contractor yeye Kazi yake ni ku enforce sheria ya manunuzi kwa hiyo msimsingizie kwenye mambo asiyohusika.Wee ni mtu wa PPRA lakin naona hujui kitu kwa mfano uliotoa