Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Ni nani ambaye sio Masalia ya huyu Mtu hata Wakubwa pale Juu si mazao yake?

Huwezi itofautisha serikali ya JPM na wote walioshika nyadhifa za juu maana yeye ndio aliwaweka pale.

Kiufupi Wachina ndio waliwaingiza mtaroni Kenya na gobole la dizel kwa kuwadanganya ni bei nafuu (dizeli wanaagiza nje ikipanda bei na nauli zinapanda bei) sisi mturuki alitushauri ya umeme ambayo pia hata dizeli unaweza tumia kwa pamoja.

Mchina ni shuawani sana amjui tu nendeni kwenye camp zao
 
Ukiweka huo mkataba wanapandisha bei.

Wachina ni wahuni sana basi tu msiowajua mtawatetea
 
Ila wabongo kwa kweli nime appreciate kila kitu tunajua.
Hapo kwa ppra pia Kuna kupigwa Kama kawaida.
Pia sio kuwa tenda kuwa na Bei ndogo basi itakuwa ivyoivyo kuwa pesa itakuwa ndogo mpaka mradi unakuja kumalizika.
Naweza nikatenda low price Ila bado mradi kuja kuisha uishanilipa nyingi Sana.
Ishu ni rate and quantity.napunguza quantity Ila rate naweka juu kinyama.
Wao wanachocheki ni Ile lump sum basi kuwa huyu katenda low price than all so mpeni kazi
 
Habari wadau..

Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.

Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.

Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.

Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.

Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.

Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.

Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.

Karibuni kwa mjadala. 👇

View attachment 1951944

View attachment 1951945

View attachment 1951946

View attachment 1951947
It's just a matter of time.
 
Yapi wako vizuri sana kwenye ujenzi wa reli kwa sababu wanafuata 'standard' za Ulaya na kitu kinachonifurahisha zaidi ni ujenzi kufanywa na wazawa kwa asilimia kubwa kuanzia vibarua hadi wahandisi, wataalamu wa kituruki ni wachache sana. Wachina waliopewa kipande cha Mwanza hadi Isaka wamerundikana wahandisi wa kichina pekee wazawa wengi ni vibarua tu hawana msaada kabisa kuwafundisha wazawa.
 
Kuna s

Kuna sheria ya Single sourcing, unaweza mpa kazi kandarasi mmoja na sheria i inakulinda.

Hao wachina wasipewe kitu ni wezi na wana mafisadi nyuma yao wanataka kupiga trillions hapo. So Chinese companies zisipewe kabisa kitu Yapi wako vizuri na gharama nafuu sana kwa viwango vya kimataifa.
Haya mambo yapo inaruhusiwa muhimu kunakuwa na justification kwanini hawa wanapewa na bado inapita kwa bidding committee kuipitisha wala sio issue na huwa inaangaliwa mobilization gharama kwa maana watu wanakuwa tayari wanaifanya hiyo kazi na gharama zake zinakubalika katika cost control inayofanywa na serikali. Kuwa ya kutoa bid serikali inakuwa na idea ya gharama sasa bidders wakija juu sana issue wakija chini sana pia ina raise flag je hawa wanajuwa wanachotakiwa kufanya. Sheria inaruhusu yote haya hakuna aliyekosea katika hili ni hoja zinatofautiana tu within the rules.
 
Umesoma au umekurupuka kama mkojo?

Unapewa au unashindana? Kwa hiyo wasipewe tender hata kama wanajenga kwa gharama ndogo Kisa Wana mafisadi nyuma?

Nchi inataka value for money au mambo ya ufisadi? Nani anataka kupiga anaeweka bei kubwa au mwenye bei ndogo? Akili kisoda.
Mbona we Jamaa mara nyingi michango yako humu ni matusi na kejeli.. Yani una u much know wa kizamani na kishamba mno.... Badilika Hatuwezi kuwa upande mmoja wote.
 
Yapi wako vizuri sana kwenye ujenzi wa reli kwa sababu wanafuata 'standard' za Ulaya na kitu kinachonifurahisha zaidi ni ujenzi kufanywa na wazawa kwa asilimia kubwa kuanzia vibarua hadi wahandisi, wataalamu wa kituruki ni wachache sana. Wachina waliopewa kipande cha Mwanza hadi Isaka wamerundikana wahandisi wa kichina pekee wazawa wengi ni vibarua tu hawana msaada kabisa kuwafundisha wazawa.
Serikali inataka wananchi wake waajiriwe Yapi kaajiri vya kutosha what else, hebu toeni siasa bana
 
Nafikiri pia mtoa mada anadhani kubid cheaper ndicho cha muhimu zaidi kuliko factors zingine.
Wachina siyo watu wazuri tenda yoyote ikishindanishwa na wachina lazima wachukua huwa wanahonga sana vilevile huwa wanapunguza sana bei ilimradi wapate hiyo tenda wako tayari hata kufanya bure na wakishapata hiyo tenda baadaye wataanza sarakasi zao. Mfano mdogo ni wa Ubungo exchange plan ya mwanzo ilikuwa ni kali sana kwa ajili ya kupata tenda baada ya kupata tenda wakabadilisha plan ikawa tofauti na ya mwanzo ili kupunguza gharama. Mchina hakatai kazi ila atakujengea kwa kiwango kulingana na pesa yako uliyonayo.
 
japokuwa mi silipend kundi la Sukuma Gang kwa waliyotufanyij lakn kwa hli namuunga mkono. waachiwe waturuk. ukitaka kujua ninachosema nenda kaangalie reli iliyopo kenya ya mchina na ya hawa jamaa tofaut yao. sio kila alichonzisha Magufuli alikosea ndugu zangu. kuna maeneo yule mzee alifanikiwa sana. kwa mfano katika vitu ambavyo Mama amekosea sana ni kuruhusu kutoa kiholela vibali vya kaz kwa wagen. wakenya wameingia kila mahali sasa hv. wahind nao wameenda kwao. kuchukua vibarua wako weng na bado wanamwagika.wamesahau vijana hatujawaajir miaka 6sasa. inaonekana lile kundi wapigaji linaanza kujipenyeza ukiona hvi.
 
Wachina siyo watu wazuri tenda yoyote ikishindanishwa na wachina lazima wachukua huwa wanahonga sana vilevile huwa wanapunguza sana bei ilimradi wapate hiyo tenda wako tayari hata kufanya bure na wakishapata hiyo tenda baadaye wataanza sarakasi zao. Mfano mdogo ni wa Ubungo exchange plan ya mwanzo ilikuwa ni kali sana kwa ajili ya kupata tenda baada ya kupata tenda wakabadilisha plan ikawa tofauti na ya mwanzo ili kupunguza gharama. Mchina hakatai kazi ila atakujengea kwa kiwango kulingana na pesa yako uliyonayo.
Acha porojo huwezi badili plan ya client unless mradi ni design and build napo unawasilisha design yako itakayokubalika ndio hiyo..

Kwa hiyo kama ubungo wakibadili wa kulaumiwa ni wachina au serikali? Sioni tatizo la wachina kwanza kushindana nao uwe umejipanga kwa teknolojia na Vifaa wao vyote wanavyo sio sawa na hao wazungu..

Kama mchina ana bei ndogo huyo ndio wa kwenda nae,mbona wamejenga barabara nyingi Sana Tzn na hakuna shida yoyote?
 
Mbona we Jamaa mara nyingi michango yako humu ni matusi na kejeli ..Yani una u much know wa kizamani na kshamba mno....Badilika Hatuwez kua upande mmoja wote.
Usipende kushobokea jambo kabla hujasoma ndio maana nawatukana mumezidi ujinga vichwani mwenu.
 
Kuna s

Kuna sheria ya Single sourcing, unaweza mpa kazi kandarasi mmoja na sheria i inakulinda.

Hao wachina wasipewe kitu ni wezi na wana mafisadi nyuma yao wanataka kupiga trillions hapo. So Chinese companies zisipewe kabisa kitu Yapi wako vizuri na gharama nafuu sana kwa viwango vya kimataifa.
Mleta Mada amesoma tu habari bila kujilizisha
Hao wachina bei wameongeza sana yaani hela anayochaji mturuki ni bilioni tisa kwa kilomita moja Wachina(wabongo) wakishirikiana wao wanataka 14 bilioni kwa kilomita.
Wachina hao hao kipindi reli inaanza kujengwa walijitoa kwenye mchakato hawakurudisha Zabuni leo ni nini kimewasibu Warudi.?
Wanashinikiza wapate watu wana 10% zao.!
Kadogosa yupo sahihi.!
 
Ushidani ni jambo jema sana lakini tuwe makini sana, hasa kama bei ya mzabuni aliyeshimda Ina tofauti sana na wenzake na ikiwa Haina uhalisia.isije baadae akutumia ujanja ujanja au uthaifu kwenye mkataba ili kudai nyongeza kwenye mkataba, au kuwa na Nia ovu ya kuhujumu mradi (kumbuka mwamzo tuliwanyima wachina) ni vizuri utafiti ufanyike kukadiria gharama halisi za ujenzi was 1km kwa kutumia data ambazo tayari zipo then mnaweza kuwapa yep kwa kuwaachia margin flan ambayo itakua profit kwao, Sheria pia inaruhisu kumwongezea kazi mkandarasi ambaye bado yupo site kwa kazi hiyo hiyo kama gharama zinalingana
 
Back
Top Bottom