Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.
Hivyo, katika kujaribu kupoza jambo hili, serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.
Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni (sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).
Wacha tusibiri.