Kadri joto la uchaguzi linavyopanda, sitashangaa kusikia watumishi wa Umma wenye madai mbalimbali wakianza kulipwa

Si kweli CCM Haitegemei kura za raia kuingia Ikulu tena. Laiti ingekuwa inategemea maamuzi ya box la kura naamini ingeongeza mishahara kwa watumishi, ingepandisha watumishi madaraja na ingelipa madeni yote kabla ya Octoba, ila kwa kuwa wanajua njia wanazotumia kuingia Ikulu naona hawana hofu kama watu wanavyodhani. Nawakumbusha tena wapinzani, kwa kutegemea sanduku la kura bila njia mbadala hata Watanzania wote wakiwapa kura hamuezi kuingia Ikulu kamwe.
Ukijua hili wenzako wanajua lile, hata wale wanaowasaidia kucheza na electronic voters digits wanajulikana. Tukutane October.
 
Ghana pinzani haviwezi shinda uchaguzi TANZANIA kwa kupiga kura, watafute njia mbadala!!
 
Basi hats wakalipa madai na kupandisha mishahara kwa wafanyakazi hao CCM hawafai kubaki madarakati. Kama pesa ni haki yao wananchi kwann wadhindwe kulipa kwa wakati hali ya kuwa pesa zipo..Inamaana hizi pesa zinapatikana kilindi cha uchaguzi tu/kampeni tu.. Tushachoka na hizi mambo, maana washatuna sie watoto wadogo kiss tumewakabidhi hii dhamana.

Wafahamu kuwa wao si chochote hzo mali/mapesa yote sio yakwao kama wananchi wana stahiki zao basi wapewe bila lolongo
 
Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.

Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.

Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).

Wacha tusibiri.
Wamekwisha chelewa Treni ya Mabadiliko imekwishaondoka. Magufuli atashangazwa mpaka na wateule wake akina Simon Sirro na Mabeho watakapo mgeuka.

Nguvu ya UMMA ndiyo inamtaka Tundu Lissu
 
Ataongeza malaki si vi elfuuuu kabla ya kuondoka madarakani
 
Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.

Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.

Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).

Wacha tusibiri.
Tamisemi wako na timu yake Hulu kagera kukagua madeni na malimbikizo ya walimu.Watumishi mungu atupe nguvu uvumilivu umetuishia tusubiri tu October 28,tufanye yeti moyoni
 
Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.

Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.

Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).

Wacha tusibiri.
Rushwa..

Jr[emoji769]
 
Mbona hiyo ni habari njema sana au ulitaka mpate point ya kusema kuwa serekali ya JPM ni majizi? Mmebuma sasa
Hata mkilipa siku moja kabla ya uchaguzi lazima tuwashughulikie, hamwezi kutuweka pending miaka mitano yote!
 
Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.

Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.

Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).

Wacha tusibiri.
Ishakula kwake sidhani kama kuna mwanafunzi wa chuo au mfanyakazi wa umma atakayempigia kura JIWE labda JWTZ/TEETH/PCCB ambao wao wanaongezewa.
 
Wakilipi
Mbona hiyo ni habari njema sana au ulitaka mpate point ya kusema kuwa serekali ya JPM ni majizi? Mmebuma sasa
Ni mtu mjinga tu ambaye umnyanyase miaka minne uje kumboreshea maslahi mwaka wa uchaguzi. Watumishi wa umma washamjua kuwa hawajali hata akifanya nini mwaka huu
 
Si kweli CCM Haitegemei kura za raia kuingia Ikulu tena. Laiti ingekuwa inategemea maamuzi ya box la kura naamini ingeongeza mishahara kwa watumishi, ingepandisha watumishi madaraja na ingelipa madeni yote kabla ya Octoba, ila kwa kuwa wanajua njia wanazotumia kuingia Ikulu naona hawana hofu kama watu wanavyodhani. Nawakumbusha tena wapinzani, kwa kutegemea sanduku la kura bila njia mbadala hata Watanzania wote wakiwapa kura hamuezi kuingia Ikulu kamwe.
Story hizo,watu wamejipanga,acheni hofu,hatua ya kwanza ni kupiga kura zihesabiwe mengine ndo yatafata,na sio kuanza kukata tamaa kwanza
 
Wakilipi

Ni mtu mjinga tu ambaye umnyanyase miaka minne uje kumboreshea maslahi mwaka wa uchaguzi. Watumishi wa umma washamjua kuwa hawajali hata akifanya nini mwaka huu
Nafasi pekee ya kumuwajibisha ni October,
 
Miaka yote ya kukaribia na uchaguzi ccm huwa wanalipa malimbikizo ya wafanyakazi, ni jiwe ujeuri wake tu kwa vile anaamini atatumia jeshi polisi, tiss kupora ushindi, hivyo hajari kitu, ndio maana hata kupandisha mshahara hataki, simply NEC watamuibia kura na kuchakachua matokeo.
 
Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.

Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.

Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).

Wacha tusibiri.
mm sijui kama itasaidia sana mkuu
 
Back
Top Bottom