Sio watumishi tu, hata kuhusu ajira kama umesikia wamesema kupitia mh Jafo, kuwa wataajiri walimu 12,000.
Binafsi naona haitasaidia ili isaidie labda waajili.
walimu kuanzia 60,000.
Afya 40,000.
Kilimo na ufugaji 20,000. Nk
Maana wamewasaliti vijana miaka mitano(5), bila ajira, vijana na ndugu zao wana hasira na selikari ya CCM,
Na uzuri miaka inavozidi kwenda, vijiji vinatanuka, watu wanaelimika, wazee wasio na elimu wanafariki, wanabaki watu wenye awareness na consciousness. CCM watapata tabu sana, na uongozi wap wa kijimA.