Ukijua hili wenzako wanajua lile, hata wale wanaowasaidia kucheza na electronic voters digits wanajulikana. Tukutane October.Si kweli CCM Haitegemei kura za raia kuingia Ikulu tena. Laiti ingekuwa inategemea maamuzi ya box la kura naamini ingeongeza mishahara kwa watumishi, ingepandisha watumishi madaraja na ingelipa madeni yote kabla ya Octoba, ila kwa kuwa wanajua njia wanazotumia kuingia Ikulu naona hawana hofu kama watu wanavyodhani. Nawakumbusha tena wapinzani, kwa kutegemea sanduku la kura bila njia mbadala hata Watanzania wote wakiwapa kura hamuezi kuingia Ikulu kamwe.
Walipe tu ,Ni stahiki zetu,lakini tutafanya Kama wajumbe.Hata mkilipa haitasaidia kwa sasa.
Wamekwisha chelewa Treni ya Mabadiliko imekwishaondoka. Magufuli atashangazwa mpaka na wateule wake akina Simon Sirro na Mabeho watakapo mgeuka.Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.
Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.
Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).
Wacha tusibiri.
Tamisemi wako na timu yake Hulu kagera kukagua madeni na malimbikizo ya walimu.Watumishi mungu atupe nguvu uvumilivu umetuishia tusubiri tu October 28,tufanye yeti moyoniSwala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.
Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.
Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).
Wacha tusibiri.
Rushwa..Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.
Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.
Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).
Wacha tusibiri.
Hata mkilipa siku moja kabla ya uchaguzi lazima tuwashughulikie, hamwezi kutuweka pending miaka mitano yote!Mbona hiyo ni habari njema sana au ulitaka mpate point ya kusema kuwa serekali ya JPM ni majizi? Mmebuma sasa
Tatizo sio kulipwa,kwanini hawakulipwa kwa wakati?na kwanini walipwe tokana na vuguvugu la uchaguzi?Wewe hutaki walipwe? Toa hoja kwa nini wasilipwe.
Ishakula kwake sidhani kama kuna mwanafunzi wa chuo au mfanyakazi wa umma atakayempigia kura JIWE labda JWTZ/TEETH/PCCB ambao wao wanaongezewa.Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.
Hivyo,katika kujaribu kupoza jambo hili,serikali inaweza kuwalipa watumishi madai yao yote wakati wowote ule kuanzia sasa.
Tusisahau hata wakulima wa korosho waliokuwa wanadai malipo yao nao wametangaziwa kulipwa hela zao hivi karibuni(sijui kama wameshalipwa au bado ila ni habari iliyotoka kipindi hiki).
Wacha tusibiri.
Ni mtu mjinga tu ambaye umnyanyase miaka minne uje kumboreshea maslahi mwaka wa uchaguzi. Watumishi wa umma washamjua kuwa hawajali hata akifanya nini mwaka huuMbona hiyo ni habari njema sana au ulitaka mpate point ya kusema kuwa serekali ya JPM ni majizi? Mmebuma sasa
Watumishi wa umma sio wajinga wanaelewaTatizo sio kulipwa,kwanini hawakulipwa kwa wakati?na kwanini walipwe tokana na vuguvugu la uchaguzi?
Story hizo,watu wamejipanga,acheni hofu,hatua ya kwanza ni kupiga kura zihesabiwe mengine ndo yatafata,na sio kuanza kukata tamaa kwanzaSi kweli CCM Haitegemei kura za raia kuingia Ikulu tena. Laiti ingekuwa inategemea maamuzi ya box la kura naamini ingeongeza mishahara kwa watumishi, ingepandisha watumishi madaraja na ingelipa madeni yote kabla ya Octoba, ila kwa kuwa wanajua njia wanazotumia kuingia Ikulu naona hawana hofu kama watu wanavyodhani. Nawakumbusha tena wapinzani, kwa kutegemea sanduku la kura bila njia mbadala hata Watanzania wote wakiwapa kura hamuezi kuingia Ikulu kamwe.
Nafasi pekee ya kumuwajibisha ni October,Wakilipi
Ni mtu mjinga tu ambaye umnyanyase miaka minne uje kumboreshea maslahi mwaka wa uchaguzi. Watumishi wa umma washamjua kuwa hawajali hata akifanya nini mwaka huu
Huu ni uoga, Ili amuachie nani mzigo!Ataongeza malaki si vi elfuuuu kabla ya kuondoka madarakani
Hoja, kwanini kipindi hik!Wewe hutaki walipwe? Toa hoja kwa nini wasilipwe.
Kwa kuwa zitakuwa makaratasi wala sio pesa au?? Serekali hii sio weziiii full stop
mm sijui kama itasaidia sana mkuuSwala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na mgombeo wao wa uraisi.