Kadri joto la uchaguzi linavyopanda, sitashangaa kusikia watumishi wa Umma wenye madai mbalimbali wakianza kulipwa

Watulipe tu maana nina kahela kakutoshea kununua kiwanja na kuweka msingi kabisa
 

Kwanini wasilipwe?
 
tena wazipokee hizo stahiki zao fasta, halafu October ni kichinjio kwa kwenda mbele!
 

Tulipwe tu
 
Vita vya panzi furaha ya kunguru.Hii ndio faida ya vyama vingi.
 
Serikali imekuwa ikilipa madai ya watumishi yale YALIYOHAKIKIWA kila mwaka hivyo binafsi sioni jipya japo naamini kwa kuwa Raisi anamaliza kipindi chake cha miaka mitano, kasi inaweza kuongezeka
 
Mbona hiyo ni habari njema sana au ulitaka mpate point ya kusema kuwa serekali ya JPM ni majizi? Mmebuma sasa
Mbunge mteuliwa wa ccm bwana Kipanga hapa mafia pwani aliwapa wajumbe kila mmoja laki3. mbili kabla na moja baada ya matokeo kasha nisikie mtu analeta fyokofyoko. sijui chizi gani limepambana na rushwa hapo cmm. nyie na rushwa ni sawa na samaki na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…