Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

Inaonekana una hasira sana na wenzako wenye makalio makubwa, si ajabu una flat screen... Pambana na hali yako
 
Tatizo huwa mnafikiri mazoezi ni imaginary concept..kumbe ni vitu rahisi kabisa arround us.. nunua kamba kesho anza kazi. Achana na magym utapigwa hela kijinga, na ushaonyesha kutamani vifua. Utaliwa.

Get this..
View attachment 2176954
Mazoezi ni mjumuiko wa matendo tofauti tofauti kwa image ya mwili wake anavoelezea acha tu aende gym akakate weight
 
Huyo filifili naomba picha haaaa mbona filfil
 
Umekuwa Bonge Bonge Ukifika Mbeya Unaitwa Firifiri!! Haa
 
masai dada

kama washindwa mazoezi basi jizuie kula vyakula hatarishi
Aiseee kwa mchakamchaka wa maisha...kila siku lunch inakukuta barabaran unakula hovyohovyo tu...plus chai na michapati....ni hatari buda
 
Tatizo huwa mnafikiri mazoezi ni imaginary concept..kumbe ni vitu rahisi kabisa arround us.. nunua kamba kesho anza kazi. Achana na magym utapigwa hela kijinga, na ushaonyesha kutamani vifua. Utaliwa.

Get this..
View attachment 2176954
Hapo kwenye kuliwa si unafaid na wewe au?

Anyways napenda mazoez ya wawil watatu bado sijakolea bila hamsha hamsha yaan mwili haupo willing.

Sijui watu wanawezaje...
Naamka daily saa 10

Mida ninao ila nitaakaa hapo bed mpaka...yaasn ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…