Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Unatokea mkoa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazoezi ni mjumuiko wa matendo tofauti tofauti kwa image ya mwili wake anavoelezea acha tu aende gym akakate weightTatizo huwa mnafikiri mazoezi ni imaginary concept..kumbe ni vitu rahisi kabisa arround us.. nunua kamba kesho anza kazi. Achana na magym utapigwa hela kijinga, na ushaonyesha kutamani vifua. Utaliwa.
Get this..
View attachment 2176954
Huyo filifili naomba picha haaaa mbona filfilUko na gym karibu na unashindwa kufanya mazoezi kisa usingizi aisee ww ni mvivu pro max.
Na ukiwa na mwili kama filifili usitegemee kutupata sisi labda uwe na pesa utapata wale wa kamseleleko ganda la ndizi.
Wengine mwili unapungua kwa kazi ngumu tu, hayo masix pack yanakuja automatically tu bila kuyatafuta.
Ahahahaha mkuu ulishuhudia hilo au?Fanya mazoezi uzeeke kama jk ,mashine Bado inapeleka moto hatari huku yupo round 78
Hata flat sina...nina tundu tuInaonekana una hasira sana na wenzako wenye makalio makubwa, si ajabu una flat screen... Pambana na hali yako
Mshika kibendera kwenye mpambanoAhahahaha mkuu ulishuhudia hilo au?
Umeimagne lemutuz au😥😥😥Mazoezi ni mjumuiko wa matendo tofauti tofauti kwa image ya mwili wake anavoelezea acha tu aende gym akakate weight
Aiseee umeyajuaje hayo mkuu?Fanya mazoezi uzeeke kama jk ,mashine Bado inapeleka moto hatari huku yupo round 78
Aiseee kwa mchakamchaka wa maisha...kila siku lunch inakukuta barabaran unakula hovyohovyo tu...plus chai na michapati....ni hatari buda
Hahaha yaan wewe mtu wa 5 firifir ni nini?Umekuwa Bonge Bonge Ukifika Mbeya Unaitwa Firifiri!! Haa
Hahahaha Masai, I miss youMshika kibendera kwenye mpambano
Hapo kwenye kuliwa si unafaid na wewe au?Tatizo huwa mnafikiri mazoezi ni imaginary concept..kumbe ni vitu rahisi kabisa arround us.. nunua kamba kesho anza kazi. Achana na magym utapigwa hela kijinga, na ushaonyesha kutamani vifua. Utaliwa.
Get this..
View attachment 2176954
Jongoo..=filifli
Majongoo ni yale makonokono matoto..Jongoo..=filifli
Nimejiajiri mbali mnoo(assume k.koo to chamazi)Kama unaweza anza mazoezi ya kutembea Daily Home-Job-Home.. Utaona matokeo
Basi filifili=(Caterpillar)Majongoo ni yale makonokono matoto..
Mbeya bhn 😁😁😁