Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

Inaonekana una hasira sana na wenzako wenye makalio makubwa, si ajabu una flat screen... Pambana na hali yako
 
Tatizo huwa mnafikiri mazoezi ni imaginary concept..kumbe ni vitu rahisi kabisa arround us.. nunua kamba kesho anza kazi. Achana na magym utapigwa hela kijinga, na ushaonyesha kutamani vifua. Utaliwa.

Get this..
View attachment 2176954
Mazoezi ni mjumuiko wa matendo tofauti tofauti kwa image ya mwili wake anavoelezea acha tu aende gym akakate weight
 
Uko na gym karibu na unashindwa kufanya mazoezi kisa usingizi aisee ww ni mvivu pro max.
Na ukiwa na mwili kama filifili usitegemee kutupata sisi labda uwe na pesa utapata wale wa kamseleleko ganda la ndizi.
Wengine mwili unapungua kwa kazi ngumu tu, hayo masix pack yanakuja automatically tu bila kuyatafuta.
Huyo filifili naomba picha haaaa mbona filfil
 
Umekuwa Bonge Bonge Ukifika Mbeya Unaitwa Firifiri!! Haa
 
Tatizo huwa mnafikiri mazoezi ni imaginary concept..kumbe ni vitu rahisi kabisa arround us.. nunua kamba kesho anza kazi. Achana na magym utapigwa hela kijinga, na ushaonyesha kutamani vifua. Utaliwa.

Get this..
View attachment 2176954
Hapo kwenye kuliwa si unafaid na wewe au?

Anyways napenda mazoez ya wawil watatu bado sijakolea bila hamsha hamsha yaan mwili haupo willing.

Sijui watu wanawezaje...
Naamka daily saa 10

Mida ninao ila nitaakaa hapo bed mpaka...yaasn ugonjwa
 
Back
Top Bottom