kadri umri unavyozi kuenda utachepuka na wake za watu. Ni ngumu kuwa 40+ na kuchepuka na vibinti vyenye 20s na wengi wenye 30+ ni wake za watu

kadri umri unavyozi kuenda utachepuka na wake za watu. Ni ngumu kuwa 40+ na kuchepuka na vibinti vyenye 20s na wengi wenye 30+ ni wake za watu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui.

Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible kuwa approach ni wale kwenye 30s na ratio yao kubwa ni wake za watu aidha wapo kwenye ndoa active ama dormant.

Ndio maana asilimia kubwa ya wanaokutwa wanachepuka ni wale wa kwenye 40s
 
Kwahiyo kuchepuka kuna faida gani zaidi ya kutafuta umasikini mikosi na magonjwa? Hata hivyo mfuko wako tu unakufungulia milango ya "totoos" hata kama wewe ni mzee! Hata vijana rika moja na mabinti kama huna hela utanyanyapaliwa na sisi wazee tunaitwa baibeeeee!
 
Labda kama huna hela. Ila kama pochi ipo full. Uzee mwisho chalinze.

Kwanza sisi wazee tunapenda mtu ambaye uko huru naye. Yuko huru kusafiri na hatupendi presha maana tayari tuna presha.

Nadhani hujafanya research yako vizuri.
 
Back
Top Bottom