Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)

Bibie akawa amekata tamaa kabisa japokuwa walikata rufaa na kesi ilikuwa inaendelea,akaanza mahusiano ya kimapenzi na jamaaa mmoja kwa siri sana,hivi ninavyoandika uzi huu bibie keshatundikwa mimba na anatarajia mwezi wa nne mwakani ampokee Kijacho.

Wakati anatarajia kupokea huo ugeni mumewe naye kashinda kesi ya unyang'anyi wa kutumia nguvu na kesi zingine kwahiyo atatumikia jela miaka mitatu tu jela,panapo majaaliwa mwezi wa Saba mwakani jamaa atakuwa uraiani,ngoma nzito.B

ibie anawaza kuichomoa mimba ili ainusuru ndoa yake pia maisha yake,maana mumewe sio mtu wa mchezomchezo,kamshirikisha mtu wake kile anachofikiria kukifanya mtu wake anamwambia ukitoa mimba ama zako ama zangu la sivyo ukishajifungua mtoto siku hiyo hiyo niachie nitampeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima ili akija mumeo muendelee na maisha yenu.

Ila sikubali mimba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajui afanye nini kote kwa moto,kaniomba ushauri nimeshindwa kumpa ushauri hatimaye nimekuja kwenu wanajukwaa tiririkeni.
Mwanamke mzuri ni mama tu aliyekuzaa ambaye na yeye atakua na shida na baba..ziwapendi sana wanawake washenzi,alishindwa kuamua kabla ya kujilidhisha kama kweli jamaa atafungwa kwa muda mrefu?yani ushauli wa wazi hapo asubili kujibeba mwenyewe kwa lolote lile,mshenzi huyo
 
Jabakeke mwanamke asyeweza kuvumilia tendo la ndoa hawez kuvumilia jambo lolote, kwanza hata mwaka ulikuwa haujafka, pili walikuwa kwenye rufaa, sasa badala ya kuwa busy na rufaa na kumwombea mume ili atoke, yeye anawaza ngono, si umalaya huo.
Kimsingi hilo ni limwanamke lipumbavu sana na usikute ndilo lilioandika hapa likijifanya limeombwa ushauli nalo likaja jf,jinga sana
 
Upumbavu wake ni upi haswa?
 
Nilikuuliza huyo rafiki yako alikua na mipango gani, kuzaa tuu au kuishi pamoja?

Hakutarajia kama rufaa aliyokata mumewe itazaa matunda,alishakata tamaa kabisa
Jabakeke Huyo rafiki yako alipoamua kuzaa na jamaa mwingine walikua na mipango gani, kuzaa tuu au kuishi pamoja?
Kama ni kosa limeshatendeka na mimba imepatikana... mimi simshauri aue mtoto wake maana hilo ni kosa lingine kubwa ambalo atajutia. Na hata akifanya hivyo huyo aliye jela atajua tuu anaweza asimkubali mtoto na akamwacha vile vile.
Atulie azae huku akisubiri talaka yake

Vinginevyo atakosa bara na pwani - atamkosa mume jambazi, atamkosa mtoto na baba mtoto nae atamwacha
 
Akafanikiwa kutoa hiyo mimba n asiwe na uwezo mwingine was kubeba tena itakuaje na huyo alie kua jela alikua n mimba katoa unahis uamuz gan atachukua
 
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
duuuh watu mnahatariii
 
Hivi nyie mnaoshauri atoe mimba, kwan hadhira haijaona hiyo mimba ?? si hata akitoa huyo bwan mkubwa atakuja tu kupewa taarifa?? yote kwa yote wakuu tuendelee kujifunza hawa wanawake sio wenzetu! naamin kila siku alikuwa ana sali jamaa afungwe!!
 
Haijaona,wa kumpa taarifa mjelejela hayupo
 
Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)

Bibie akawa amekata tamaa kabisa japokuwa walikata rufaa na kesi ilikuwa inaendelea,akaanza mahusiano ya kimapenzi na jamaaa mmoja kwa siri sana,hivi ninavyoandika uzi huu bibie keshatundikwa mimba na anatarajia mwezi wa nne mwakani ampokee Kijacho.

Wakati anatarajia kupokea huo ugeni mumewe naye kashinda kesi ya unyang'anyi wa kutumia nguvu na kesi zingine kwahiyo atatumikia jela miaka mitatu tu jela,panapo majaaliwa mwezi wa Saba mwakani jamaa atakuwa uraiani,ngoma nzito.B

ibie anawaza kuichomoa mimba ili ainusuru ndoa yake pia maisha yake,maana mumewe sio mtu wa mchezomchezo,kamshirikisha mtu wake kile anachofikiria kukifanya mtu wake anamwambia ukitoa mimba ama zako ama zangu la sivyo ukishajifungua mtoto siku hiyo hiyo niachie nitampeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima ili akija mumeo muendelee na maisha yenu.

Ila sikubali mimba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajui afanye nini kote kwa moto,kaniomba ushauri nimeshindwa kumpa ushauri hatimaye nimekuja kwenu wanajukwaa tiririkeni.
ACTION=REACTION
CAUSE=CONSEQUENCES
 
Mim nashauri azae tu mengine yatafata inaeleweka alichukua uamuzi wa kupata mwanaume mana nae ni binadamu anahisia na kikubwa alifanya hvo akijua matumain ya mmewe kutoka ni madogo
 
Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)

Bibie akawa amekata tamaa kabisa japokuwa walikata rufaa na kesi ilikuwa inaendelea,akaanza mahusiano ya kimapenzi na jamaaa mmoja kwa siri sana,hivi ninavyoandika uzi huu bibie keshatundikwa mimba na anatarajia mwezi wa nne mwakani ampokee Kijacho.

Wakati anatarajia kupokea huo ugeni mumewe naye kashinda kesi ya unyang'anyi wa kutumia nguvu na kesi zingine kwahiyo atatumikia jela miaka mitatu tu jela,panapo majaaliwa mwezi wa Saba mwakani jamaa atakuwa uraiani,ngoma nzito.B

ibie anawaza kuichomoa mimba ili ainusuru ndoa yake pia maisha yake,maana mumewe sio mtu wa mchezomchezo,kamshirikisha mtu wake kile anachofikiria kukifanya mtu wake anamwambia ukitoa mimba ama zako ama zangu la sivyo ukishajifungua mtoto siku hiyo hiyo niachie nitampeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima ili akija mumeo muendelee na maisha yenu.

Ila sikubali mimba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajui afanye nini kote kwa moto,kaniomba ushauri nimeshindwa kumpa ushauri hatimaye nimekuja kwenu wanajukwaa tiririkeni.
Zinaa haijawahi kumuacha mtu salama...
 
Umalaya tu
 
Back
Top Bottom