CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Mbona nipo hapa Kawe maji ni mengi tuMtaani kwangu hapa hapa Dar tena mjini kabisa maji yametoka mara 3 toka mwaka huu uanze.
Hayo maji 92% yanapatikana mkoa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nipo hapa Kawe maji ni mengi tuMtaani kwangu hapa hapa Dar tena mjini kabisa maji yametoka mara 3 toka mwaka huu uanze.
Hayo maji 92% yanapatikana mkoa gani?
Kazi ni kubwa sana TanzaniaMagomeni wewe chawa
Kafulila anafaa Kila konaView attachment 3027430
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama.
Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika kukabiliana na tatizo hili namba moja la Watanzania kwa wakati amekuwa akitoa pesa nyingi pengine kuliko Marais wote tangu Uhuru wa nchi hii.
Kafulila anasema, kabla ya mwisho wa mwaka wa Fedha wa Kila mwaka na katika miaka mitatu ya Rais Samia bajeti ya maji imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 75 na 92 miezi minne kabla ya wakati uliokusudiwa.
Mkurugenzi huyo pia ananakili baadhi ya miaka ya Fedha huko nyuma kabla ya Rais Samia bajeti ya maji ilitekelezwa kwa chini ya asilimia 40.
Hii ndio tofauti ya Rais Samia na Wengine ndio maana Mzee Kikwete ametamka wazi kuwa Rais Samia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kampindua.
Hata hivyo takwimu zinaonesha upatikanaji wa Maji vijijini umepanda kutoka 70.1% mpaka 89.6% wakati upatikanaji wa Maji mjini umeongezeka kutoka 85% mpaka 90%.
#Mama Samia hakamatiki
Pia soma: Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini
Mimi sio Kafulila hata hivyoKafulila aka chawa wa mama. Wewe mzima.
Kazi gani?Kazi ni kubwa sana Tanzania
Kafulila kijana wa TaifaView attachment 3027430
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama.
Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika kukabiliana na tatizo hili namba moja la Watanzania kwa wakati amekuwa akitoa pesa nyingi pengine kuliko Marais wote tangu Uhuru wa nchi hii.
Kafulila anasema, kabla ya mwisho wa mwaka wa Fedha wa Kila mwaka na katika miaka mitatu ya Rais Samia bajeti ya maji imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 75 na 92 miezi minne kabla ya wakati uliokusudiwa.
Mkurugenzi huyo pia ananakili baadhi ya miaka ya Fedha huko nyuma kabla ya Rais Samia bajeti ya maji ilitekelezwa kwa chini ya asilimia 40.
Hii ndio tofauti ya Rais Samia na Wengine ndio maana Mzee Kikwete ametamka wazi kuwa Rais Samia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kampindua.
Hata hivyo takwimu zinaonesha upatikanaji wa Maji vijijini umepanda kutoka 70.1% mpaka 89.6% wakati upatikanaji wa Maji mjini umeongezeka kutoka 85% mpaka 90%.
#Mama Samia hakamatiki
Pia soma: Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini
Ni kiongozi na nusuKafulila is fine 👏🏿👏🏿👏🏿
Halima KagomaKwani CHADEMA siwalishawafukuza hao Wanawake?
Safi kabisaView attachment 3027430
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama.
Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika kukabiliana na tatizo hili namba moja la Watanzania kwa wakati amekuwa akitoa pesa nyingi pengine kuliko Marais wote tangu Uhuru wa nchi hii.
Kafulila anasema, kabla ya mwisho wa mwaka wa Fedha wa Kila mwaka na katika miaka mitatu ya Rais Samia bajeti ya maji imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 75 na 92 miezi minne kabla ya wakati uliokusudiwa.
Mkurugenzi huyo pia ananakili baadhi ya miaka ya Fedha huko nyuma kabla ya Rais Samia bajeti ya maji ilitekelezwa kwa chini ya asilimia 40.
Hii ndio tofauti ya Rais Samia na Wengine ndio maana Mzee Kikwete ametamka wazi kuwa Rais Samia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kampindua.
Hata hivyo takwimu zinaonesha upatikanaji wa Maji vijijini umepanda kutoka 70.1% mpaka 89.6% wakati upatikanaji wa Maji mjini umeongezeka kutoka 85% mpaka 90%.
#Mama Samia hakamatiki
Pia soma: Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini
Mungu atusaidieKazi ni kubwa sana Tanzania
Samia is unstoppableView attachment 3027430

Shida ya Watanzania sio Katiba mpya ni majiView attachment 3027430

Asante KafulilaView attachment 3027430

Kafulila ni zaidi ya ProfessorView attachment 3027430

Barikiweni sana yeamView attachment 3027430