Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

View attachment 3027430

Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama.

Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika kukabiliana na tatizo hili namba moja la Watanzania kwa wakati amekuwa akitoa pesa nyingi pengine kuliko Marais wote tangu Uhuru wa nchi hii.

Kafulila anasema, kabla ya mwisho wa mwaka wa Fedha wa Kila mwaka na katika miaka mitatu ya Rais Samia bajeti ya maji imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 75 na 92 miezi minne kabla ya wakati uliokusudiwa.

Mkurugenzi huyo pia ananakili baadhi ya miaka ya Fedha huko nyuma kabla ya Rais Samia bajeti ya maji ilitekelezwa kwa chini ya asilimia 40.

Hii ndio tofauti ya Rais Samia na Wengine ndio maana Mzee Kikwete ametamka wazi kuwa Rais Samia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kampindua.

Hata hivyo takwimu zinaonesha upatikanaji wa Maji vijijini umepanda kutoka 70.1% mpaka 89.6% wakati upatikanaji wa Maji mjini umeongezeka kutoka 85% mpaka 90%.

#Mama Samia hakamatiki

Pia soma: Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini
Kafulila is fine 👏🏿👏🏿👏🏿
 
Kafulila huwa namwamini tofauti na wengine
 
Ilikuwa ni ngumu sana Jesca wa CHADEMA kuishi na Kafulila wa CCM nadhani shida ilianzia hapa
 
Back
Top Bottom