Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

Kafulila anafaa Kila kona
 
Kafulila kijana wa Taifa
 
Safi kabisa
 
Samia is unstoppable
 
Shida ya Watanzania sio Katiba mpya ni maji
 
Hizi mambo za maji ni shida Kuna mahala juzi nilikuwa wananchi walijichanga wakaleta maji hadi kijijini , baada ya hapo wakala wa maji vijijini amekwenda na kufungia ankauti ambayo wananchi wanachangia pesa zao huko Ili kuboresha mradi wao eti mpaka mamlaka ije kuzindua kitu ambacho awajawasaidia chochote tofauti na kilo nne ya simenti waliyopewa kuziba Tanki lililokuwa linavuja
 
Asante Kafulila
 
Kafulila ni zaidi ya Professor
 
Barikiweni sana yeam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…