RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Viongozi wengi waliopumzishwa wamekaa kimya huku wakijitaftia mkate wa kila siku kupitia kwenye kilimo na biashara mfano mzuri wapo wakina Lukuvi, Kabudi, Ally Happi, Makonda Mzee Ndugai n.k.wewe umebaki unasifia mambo ambayo hayapo ili uweze kutazamwa upya jambo hilo halipo tena katika utawala huu.
Mama anajua unamsifia kwenye hamna maana hata yeye anajua wananchi wanechapika hatari kimaisha iweje umpake kilemba ukoka?
Mbona Kigoma ni mkoa wenye ardhi nzuri na mvua za kutosha kwanini usijikite kwenye kilimo ukaacha uchawa ambao mama hakuuzoea kutoka kwako?
Hujiulizi nini kilichofanya akufyeke kwenye ukuu wa mkoa akaona hutoshi kuendelea kukalia kiti hicho?
Kafulila zama zimebadilika tambua hilo kuna maisha baada ya siasa acha uchawa fanya kazi nyingine umeshapumzishwa.
Tanzania tupo milioni 61.3 Kwa sasa wengi wanajua utawala huu unatoa huduma kiasi gani kwa umma! usidhani kuwa wenye akili ni wanasiasa ndiyo wanaoweza kuisemea Serikali wapo wengi ambao sio wanasiasa wanajua yanayoendelea nchini.