Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime

Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Viongozi wengi waliopumzishwa wamekaa kimya huku wakijitaftia mkate wa kila siku kupitia kwenye kilimo na biashara mfano mzuri wapo wakina Lukuvi, Kabudi, Ally Happi, Makonda Mzee Ndugai n.k.wewe umebaki unasifia mambo ambayo hayapo ili uweze kutazamwa upya jambo hilo halipo tena katika utawala huu.

Mama anajua unamsifia kwenye hamna maana hata yeye anajua wananchi wanechapika hatari kimaisha iweje umpake kilemba ukoka?

Mbona Kigoma ni mkoa wenye ardhi nzuri na mvua za kutosha kwanini usijikite kwenye kilimo ukaacha uchawa ambao mama hakuuzoea kutoka kwako?

Hujiulizi nini kilichofanya akufyeke kwenye ukuu wa mkoa akaona hutoshi kuendelea kukalia kiti hicho?

Kafulila zama zimebadilika tambua hilo kuna maisha baada ya siasa acha uchawa fanya kazi nyingine umeshapumzishwa.

Tanzania tupo milioni 61.3 Kwa sasa wengi wanajua utawala huu unatoa huduma kiasi gani kwa umma! usidhani kuwa wenye akili ni wanasiasa ndiyo wanaoweza kuisemea Serikali wapo wengi ambao sio wanasiasa wanajua yanayoendelea nchini.
 
"TWEETE MOJA INAWEZA KUTUMIA MUDA GANI KUANDIKWA?

JE, KAFULILA ANAFANYA KOSA GANI KUMSEMEA RAIS NA NCHI YAKE?

JE?! HUYU KAFULILA KAANZA KUANDIKA HIZI MAKALA WAKATI GANI?

===
Tatizo lenu hamtaki na hampendi kila mtu anayemsemea Rais Samia Suluhu Hassan,

Tatizo ni Urais tu Samia,

Kwani Kafulila kuandika tweeter moja inatumia muda gani unaomfanya ashinde kulima?

Kwani Kafulila si ni mkulima wa Kahawa yule au mnataka na yeye apige picha Shambani?

#TATIZO HAPA NI URAIS TU
 
Kafulira ni nani maana ni jina geni kwa wafuatiliaji wa siasa uchwara.
 
Kwani Jesca hayupo? Unahamia kwenye kivuli. Waachie mji wao, kucheza halaiki huwezi.
 
Huyu tumbili niliisha mdharau sana wakati anafukuzwa na mbatia. Mara akakimbilia kupiga magoti kwa kuona ubunge wake unakoma then angekosa posho alizozoea kupata bungeni
 
Tanzania tangu awamu ya tano tumejenga siasa za uchawa, na huu uchawa unazidi kuenea hadi kwenye tasnia nyingine za michezo na muziki... ni hatari sana kwa Taifa.
Kila kitu eti awamu ya tano ndo sababu, taja awamu ambayo haikuwa na machawa, wewe pia chawa.
 
Kafulila ana wasi wasi kesi ya covid 19 imekaa vibaya,tegemeo lake kwa sasa ni mke wake sasa kama kikinuka huko anazidi kuwa mashakani. Masikini tumbili anaruka ruka tu kila tawi linateleza
Watu wengine hamna akili, kwani watu wote ambao hawajateuliwa kuongoza wanategemea wake zao? Kama wewe unategemea mkeo kwa sababu hujateuliwa ukuu wa mkoa basi una matatizo makubwa kichwani.
 
Kafulila anatoka jamii ya hovyo sana, kwao wanachokiweza ni kusugua ndala na miguu kwa saa nzima baada ya kuoga. Nyasi huota hadi mlangoni hawawezi hata kukwaa.

Jamii za kilozi zinazoamini maendeleo kwao ni kurogwa na kifo!! Huwa na fikra za funza na minyoo mwangalie hata ndugu yake Zitto ni wale wale, kumwambia ashike jembe kwake ni ushamba na fedheha! Huwa wako tayari kuua ili tu wapate vya bure hata ikiwa ni sinia ya ubwabwa!

Majitu ya hovyo sana.
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
FB_IMG_1668670196477.jpg
 
Viongozi wengi waliopumzishwa wamekaa kimya huku wakijitaftia mkate wa kila siku kupitia kwenye kilimo na biashara mfano mzuri wapo wakina Lukuvi, Kabudi, Ally Happi, Makonda Mzee Ndugai n.k.wewe umebaki unasifia mambo ambayo hayapo ili uweze kutazamwa upya jambo hilo halipo tena katika utawala huu.

Mama anajua unamsifia kwenye hamna maana hata yeye anajua wananchi wanechapika hatari kimaisha iweje umpake kilemba ukoka?

Mbona Kigoma ni mkoa wenye ardhi nzuri na mvua za kutosha kwanini usijikite kwenye kilimo ukaacha uchawa ambao mama hakuuzoea kutoka kwako?

Hujiulizi nini kilichofanya akufyeke kwenye ukuu wa mkoa akaona hutoshi kuendelea kukalia kiti hicho?

Kafulila zama zimebadilika tambua hilo kuna maisha baada ya siasa acha uchawa fanya kazi nyingine umeshapumzishwa.

Tanzania tupo milioni 61.3 Kwa sasa wengi wanajua utawala huu unatoa huduma kiasi gani kwa umma! usidhani kuwa wenye akili ni wanasiasa ndiyo wanaoweza kuisemea Serikali wapo wengi ambao sio wanasiasa wanajua yanayoendelea nchini.
Haswa apige mishe zake itampa heshima zaidi aache uswahili.
 
Inaonekana analysis ya kafulila iko blind kwenye yale mengine ambayo hayaendi sawa, ndo maana anaonekana chawa tu.
 
Back
Top Bottom