johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Alikuwa boss wako huyu aka tumbili hapo Ufipa!Akubali tu kuwa muosha vyombo nyumbani
Hata Membe alikuwa waziri na boss wenu wa mambo ya nje.Alikuwa boss wako huyu aka tumbili hapo Ufipa!
Sasa hivi wote wako sisiemu....!!Tumbili ana gundu sana.
Ndio mwanasiasa wa kwanza kufukuzwa CHADEMA. Nakumbuka alifukuzwa na Dr.Slaa.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Refresh kumbukumbu zako mjombaTumbili ana gundu sana.
Ndio mwanasiasa wa kwanza kufukuzwa CHADEMA. Nakumbuka alifukuzwa na Dr.Slaa.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Anajifanya anakila bogus and very stupid person indeedUnajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa.
Kesho David Kafulila atakuwa ITV katika kipindi cha Dakika 45 ambapo amealikwa kama mchambuzi wa maswala ya siasa kuzungumzia uchaguzi mkuu.
Ikumbukwe kuwa mke wa Kafulila Mrs Jesca Kafulila anagombea ubunge huko Iramba mkoani Singida kwa tiketi ya CHADEMA.
Maendeleo hayana vyama!
Ukijikweza utashushwaAlikuwa boss wako huyu aka tumbili hapo Ufipa!
Badala ya kumuunga mkono mke ili afanikiwe yeye kutwa kusugua makalio ya wakubwa ilibateuliweUnajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa.