Unajua kusoma kweli?Refresh kumbukumbu zako mjomba
Daktari slaa hajawahi kufukuzwa chadema
Ajijiondoa mwenyewe baada ya chadema yenyewe kunajisi kile inachokiamini
Hii ilitokea pale viongozi waandamizi wa chadema walipojivua akili na kumsafisha mtu waliyemchafua wenyewe :Edward Nguyai Lowasa