Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Wilbroad Slaa alilazimishwa kujitoa na mchumba wake JosephineRefresh kumbukumbu zako mjomba
Daktari slaa hajawahi kufukuzwa chadema
Ajijiondoa mwenyewe baada ya chadema yenyewe kunajisi kile inachokiamini
Hii ilitokea pale viongozi waandamizi wa chadema walipojivua akili na kumsafisha mtu waliyemchafua wenyewe :Edward Nguyai Lowasa