Kafulila amechezea shilingi chooni imedumbukia sasa amerudia tena kutafuta teuzi kijanja janja!

Refresh kumbukumbu zako mjomba

Daktari slaa hajawahi kufukuzwa chadema

Ajijiondoa mwenyewe baada ya chadema yenyewe kunajisi kile inachokiamini

Hii ilitokea pale viongozi waandamizi wa chadema walipojivua akili na kumsafisha mtu waliyemchafua wenyewe :Edward Nguyai Lowasa
Wewe ndo hujamwelewa kabisa.
 
Refresh kumbukumbu zako mjomba

Daktari slaa hajawahi kufukuzwa chadema

Ajijiondoa mwenyewe baada ya chadema yenyewe kunajisi kile inachokiamini

Hii ilitokea pale viongozi waandamizi wa chadema walipojivua akili na kumsafisha mtu waliyemchafua wenyewe :Edward Nguyai Lowasa
We kiazi umekurupuk
 
Bange mbaya ndugu yangu,we hapo unajibu nini,na mwenzio alisema nini?

Hebu soma tena
 
Refresh kumbukumbu zako mjomba

Daktari slaa hajawahi kufukuzwa chadema

Ajijiondoa mwenyewe baada ya chadema yenyewe kunajisi kile inachokiamini

Hii ilitokea pale viongozi waandamizi wa chadema walipojivua akili na kumsafisha mtu waliyemchafua wenyewe :Edward Nguyai Lowasa
Hujaelewa
 
Unajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa.

Kesho David Kafulila atakuwa ITV katika kipindi cha Dakika 45 ambapo amealikwa kama mchambuzi wa maswala ya siasa kuzungumzia uchaguzi mkuu.

Ikumbukwe kuwa mke wa Kafulila Mrs Jesca Kafulila anagombea ubunge huko Iramba mkoani Singida kwa tiketi ya CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!
Kafulila haoni hata sababu ya kwenda kumpigia kampeni mke wake ?
 
Kafulila upo njema, jana nimekuona umepiga travolta OG. ha ha ha
 
Unajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa.

Kesho David Kafulila atakuwa ITV katika kipindi cha Dakika 45 ambapo amealikwa kama mchambuzi wa maswala ya siasa kuzungumzia uchaguzi mkuu.

Ikumbukwe kuwa mke wa Kafulila Mrs Jesca Kafulila anagombea ubunge huko Iramba mkoani Singida kwa tiketi ya CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!
njaa usipokuwa mwangalifu nayo huwa ina tabia ya kuvuruga vitu vingi mno kimaisha.
 
Unajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa.

Kesho David Kafulila atakuwa ITV katika kipindi cha Dakika 45 ambapo amealikwa kama mchambuzi wa maswala ya siasa kuzungumzia uchaguzi mkuu.

Ikumbukwe kuwa mke wa Kafulila Mrs Jesca Kafulila anagombea ubunge huko Iramba mkoani Singida kwa tiketi ya CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Yohana wa kuwabatiza, sijaona shida iko wapi kaka
 
Mkuu Yohana wa kuwapatia, sijaona shida iko wapi kaka
Yohana hana lolote, sijui kamfanya nini kafulila hadi leo kumfanyizia hivi wakati ni kada mwenzake pale Lumumba!! asbh jioni wapo wote.
 
Refresh kumbukumbu zako mjomba

Daktari slaa hajawahi kufukuzwa chadema

Ajijiondoa mwenyewe baada ya chadema yenyewe kunajisi kile inachokiamini

Hii ilitokea pale viongozi waandamizi wa chadema walipojivua akili na kumsafisha mtu waliyemchafua wenyewe :Edward Nguyai Lowasa
umeelewa alichokiandika huyo au kiherehere cha kucoment
 
Back
Top Bottom