Unajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa.
Kesho David Kafulila atakuwa ITV katika kipindi cha Dakika 45 ambapo amealikwa kama mchambuzi wa maswala ya siasa kuzungumzia uchaguzi mkuu.
Ikumbukwe kuwa mke wa Kafulila Mrs Jesca Kafulila anagombea ubunge huko Iramba mkoani Singida kwa tiketi ya CHADEMA.
Maendeleo hayana vyama!