Wasalaam Jf.
Record hii ya David Kafulila inanivutia kuwa mchumi,
Akimkaribisha Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania, Bwana David Zacharia Kafulila, mchumi mahiri Dkt. Bravios Kaihoza alisisitiza umuhimu wa taasisi za kiuchumi katika safari ya maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani. Anasema,
Kwanza, katika historia ya uchumi wa Tanzania, taasisi kuu zilizotambuliwa ni Benki Kuu ya Tanzania, Tume ya Uwekezaji Tanzania (TIC), Tume ya Mipango na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu wa hivi karibuni, orodha hiyo imeongezeka na sasa tunazo taasisi tano muhimu, ikiwemo Kituo cha Ubia Tanzania (PPP Center).
Pili, ni muhimu kumwelezea mtu huyu ambaye leo tunamkaribisha. Tangu alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Center takribani miaka miwili na nusu iliyopita, Bwana Kafulila amekuwa mstari wa mbele katika kutoa hotuba na mihadhara ya kiuchumi yenye uzito wa kitaifa.
Kwa takwimu, ameshiriki jumla ya mihadhara na majadiliano 44 katika vyuo vikuu, makongamano na vyombo vya habari. Kati ya hiyo, 34 zimechukuliwa kama hotuba za kiuchumi, kwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya maudhui yake yalihusu masuala ya uchumi. Ndani ya hotuba hizo, 18 zimehusu miundombinu ya kiuchumi kama barabara na nishati, 7 miundombinu ya kijamii ikiwemo elimu, afya na maji, 2 kilimo, 2 vijana, 1 wanawake, 2 umasikini, na 1 diplomasia.
Kwa hivyo, mchango wa Kafulila katika mjadala wa uchumi wa taifa ni mkubwa na wa kudumu, ukibeba dira ya maendeleo na nafasi ya kipekee ya PPP Center kama taasisi ya msingi katika mustakabali wa uchumi wa Tanzania. Ni wito kwa taasisi nyingine kuiga mfano wa mtendaji huyu katika kulisaidia taifa kusonga mbele kiuchumi na kijamii.
View: https://www.instagram.com/reel/DeZsuSmADKD/?dlrf=MWh6eGZ2bjhpZmwzMg==
Unawaza tofauti sana.Uchumi haujengwi kwa hotuba
Impact ni elimu au maarifaKuna impact gani ya hyo mihadhara?
Huyo siyo Muha ni msukuma mfipa wa uvinza na siyo ujiji broKafulila muha wa ujiji
Wasalaam Jf.
Record hii ya David Kafulila inanivutia kuwa mchumi,
Akimkaribisha Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania, Bwana David Zacharia Kafulila, mchumi mahiri Dkt. Bravios Kaihoza alisisitiza umuhimu wa taasisi za kiuchumi katika safari ya maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani. Anasema,
Kwanza, katika historia ya uchumi wa Tanzania, taasisi kuu zilizotambuliwa ni Benki Kuu ya Tanzania, Tume ya Uwekezaji Tanzania (TIC), Tume ya Mipango na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu wa hivi karibuni, orodha hiyo imeongezeka na sasa tunazo taasisi tano muhimu, ikiwemo Kituo cha Ubia Tanzania (PPP Center).
Pili, ni muhimu kumwelezea mtu huyu ambaye leo tunamkaribisha. Tangu alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Center takribani miaka miwili na nusu iliyopita, Bwana Kafulila amekuwa mstari wa mbele katika kutoa hotuba na mihadhara ya kiuchumi yenye uzito wa kitaifa.
Kwa takwimu, ameshiriki jumla ya mihadhara na majadiliano 44 katika vyuo vikuu, makongamano na vyombo vya habari. Kati ya hiyo, 34 zimechukuliwa kama hotuba za kiuchumi, kwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya maudhui yake yalihusu masuala ya uchumi. Ndani ya hotuba hizo, 18 zimehusu miundombinu ya kiuchumi kama barabara na nishati, 7 miundombinu ya kijamii ikiwemo elimu, afya na maji, 2 kilimo, 2 vijana, 1 wanawake, 2 umasikini, na 1 diplomasia.
Kwa hivyo, mchango wa Kafulila katika mjadala wa uchumi wa taifa ni mkubwa na wa kudumu, ukibeba dira ya maendeleo na nafasi ya kipekee ya PPP Center kama taasisi ya msingi katika mustakabali wa uchumi wa Tanzania. Ni wito kwa taasisi nyingine kuiga mfano wa mtendaji huyu katika kulisaidia taifa kusonga mbele kiuchumi na kijamii.
View: https://www.instagram.com/reel/DeZsuSmADKD/?dlrf=MWh6eGZ2bjhpZmwzMg==
Kafulila Muha acha maneno mengiHuyo siyo Muha ni msukuma mfipa wa uvinza na siyo ujiji bro
Hawezi ni mshamba mno sio mtu wa diliNatamani siku moja hii Tanzania aiongoze Kafulila.
Duuuh nchi ngumu sana hiiHawezi ni mshamba mno sio mtu wa dili
Giza neneDuuuh nchi ngumu sana hii
Wasalaam Jf.
Record hii ya David Kafulila inanivutia kuwa mchumi,
Akimkaribisha Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania, Bwana David Zacharia Kafulila, mchumi mahiri Dkt. Bravios Kaihoza alisisitiza umuhimu wa taasisi za kiuchumi katika safari ya maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani. Anasema,
Kwanza, katika historia ya uchumi wa Tanzania, taasisi kuu zilizotambuliwa ni Benki Kuu ya Tanzania, Tume ya Uwekezaji Tanzania (TIC), Tume ya Mipango na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu wa hivi karibuni, orodha hiyo imeongezeka na sasa tunazo taasisi tano muhimu, ikiwemo Kituo cha Ubia Tanzania (PPP Center).
Pili, ni muhimu kumwelezea mtu huyu ambaye leo tunamkaribisha. Tangu alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Center takribani miaka miwili na nusu iliyopita, Bwana Kafulila amekuwa mstari wa mbele katika kutoa hotuba na mihadhara ya kiuchumi yenye uzito wa kitaifa.
Kwa takwimu, ameshiriki jumla ya mihadhara na majadiliano 44 katika vyuo vikuu, makongamano na vyombo vya habari. Kati ya hiyo, 34 zimechukuliwa kama hotuba za kiuchumi, kwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya maudhui yake yalihusu masuala ya uchumi. Ndani ya hotuba hizo, 18 zimehusu miundombinu ya kiuchumi kama barabara na nishati, 7 miundombinu ya kijamii ikiwemo elimu, afya na maji, 2 kilimo, 2 vijana, 1 wanawake, 2 umasikini, na 1 diplomasia.
Kwa hivyo, mchango wa Kafulila katika mjadala wa uchumi wa taifa ni mkubwa na wa kudumu, ukibeba dira ya maendeleo na nafasi ya kipekee ya PPP Center kama taasisi ya msingi katika mustakabali wa uchumi wa Tanzania. Ni wito kwa taasisi nyingine kuiga mfano wa mtendaji huyu katika kulisaidia taifa kusonga mbele kiuchumi na kijamii.
View: https://www.instagram.com/reel/DeZsuSmADKD/?dlrf=MWh6eGZ2bjhpZmwzMg==
Hakika

Akili gani aliyonayo? Ya kujisifia kwa multiple IDs?Jamaa akili ipo huyu hakutakiwa kuwa Tanzania wala Africa
Anaweza kitu gani? Mtu alishindwa kummiliki Jesca KishoaJamaa anaweza sana Mungu ampe haja ya moyo wake
Hayo maarifa yamefanikisha nini?Mimi huwa namtazama Kafulila kama mtu anayeweza kuwa kiongozi bira sana kwani ni wazi jamaa anamaarifa sana.