Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,097
- 572
Kafulila anahitaji kutumiwa vizuri na Watanzania ili kuwaletea manufaa zaidi.
Urais sio ubunge2030
Punguza ushenzi, mimi na Kafulilawapj na wapiMatrix19 tumbili wako amekuja na ma IDs mapya
SahihiKafulila anahitaji kutumiwa vizuri na Watanzania ili kuwaletea manufaa zaidi.
Ameshindwa kutumika vizuri na Jesca Kishoa, manufaa yake yako wapi?Kafulila anahitaji kutumiwa vizuri na Watanzania ili kuwaletea manufaa zaidi.
Ushoga utaacha lini?Ameshindwa kutumika vizuri na Jesca Kishoa, manufaa yake yako wapi?
Wewe ukiwa unafirwa inatosha, hizo siyo shidaUshoga utaacha lini?
Wasalaam Jf.
Record hii ya David Kafulila inanivutia kuwa mchumi,
Akimkaribisha Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania, Bwana David Zacharia Kafulila, mchumi mahiri Dkt. Bravios Kaihoza alisisitiza umuhimu wa taasisi za kiuchumi katika safari ya maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani. Anasema,
Kwanza, katika historia ya uchumi wa Tanzania, taasisi kuu zilizotambuliwa ni Benki Kuu ya Tanzania, Tume ya Uwekezaji Tanzania (TIC), Tume ya Mipango na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu wa hivi karibuni, orodha hiyo imeongezeka na sasa tunazo taasisi tano muhimu, ikiwemo Kituo cha Ubia Tanzania (PPP Center).
Pili, ni muhimu kumwelezea mtu huyu ambaye leo tunamkaribisha. Tangu alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Center takribani miaka miwili na nusu iliyopita, Bwana Kafulila amekuwa mstari wa mbele katika kutoa hotuba na mihadhara ya kiuchumi yenye uzito wa kitaifa.
Kwa takwimu, ameshiriki jumla ya mihadhara na majadiliano 44 katika vyuo vikuu, makongamano na vyombo vya habari. Kati ya hiyo, 34 zimechukuliwa kama hotuba za kiuchumi, kwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya maudhui yake yalihusu masuala ya uchumi. Ndani ya hotuba hizo, 18 zimehusu miundombinu ya kiuchumi kama barabara na nishati, 7 miundombinu ya kijamii ikiwemo elimu, afya na maji, 2 kilimo, 2 vijana, 1 wanawake, 2 umasikini, na 1 diplomasia.
Kwa hivyo, mchango wa Kafulila katika mjadala wa uchumi wa taifa ni mkubwa na wa kudumu, ukibeba dira ya maendeleo na nafasi ya kipekee ya PPP Center kama taasisi ya msingi katika mustakabali wa uchumi wa Tanzania. Ni wito kwa taasisi nyingine kuiga mfano wa mtendaji huyu katika kulisaidia taifa kusonga mbele kiuchumi na kijamii.
View: https://www.instagram.com/reel/DeZsuSmADKD/?dlrf=MWh6eGZ2bjhpZmwzMg==
Mwanga wa Jua , Uelekeo555 Bibianna CM 1774858 Chai na Uji ni zak9 haijalishi ni mpya au za zamani bado ni wewe.
Hoja yako kwamba kila ID inayomuunga mkono Kafulila lazima iwe ni Kafulila mwenyewe haina msingi bila ushahidi. Kuwa na ID zaidi ya moja pekee hakuthibitishi kwamba akaunti fulani ni ya mtu unayemtuhumu; hata mijadala ya JF kuhusu multiple IDs imeonyesha kuwa madai hayo yanahitaji ushahidi zaidi kuliko kufanana kwa mitazamo.
Halafu jiulize: hata ukisema hizo ID zote ni zake, vipi kuhusu maelfu ya viewers wanaosoma mijadala hiyo bila hata kuchangia? Hao wote pia ni Kafulila? Ukweli ni kwamba mtu mwenye historia ndefu kwenye siasa, uchumi na mijadala ya kitaifa ni kawaida kuwa na watu wanaomuunga mkono, wanaompinga na wanaofuatilia anachosema.
Kwa hiyo tusifikie hatua ya kudhani kila anayesema “Kafulila ana hoja” basi huyo ni Kafulila. Huo si mjadala wa hoja tena. Kama hoja yake ni mbaya, ipinge kwa takwimu na hoja mbadala. Kama ni nzuri, ukubali ubora wake hata kama humpendi mhusika. Umaarufu wa Kafulila na kuwa na followers wengi si kosa; kinachopaswa kujadiliwa hapa ni hoja zake, si kuwageuza wote wanaomuunga mkono kuwa mtu mmoja.
So punguza tabia za kishoga.
Manina wewe.Akili za kitumbili hapo umeswitch ID ila mwandiko ule ule.
Jinga kabisa.
Manina wewe.