Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

Uchumi haujengwi kwa hotuba
 
Natamani siku moja hii Tanzania aiongoze Kafulila.
 
Safi
 
Unaeleweka sana mzee,
 
Kafulila aka Tumbili kwenye moja ya IDs zako 12. Unatupotezea muda kujisifia badala ya kufanya kazi.

Uwingi wa mijadala uliyoifanya siyo kipimo cha utendaji. Utendaji wako utapimwa kwa idadi ya miradi YA PPP uliyoisajili na kama ime take off.

Acha upumbavu Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…