Kafulila amnyang'anya soko la Madini MNEC Simiyu

Kafulila amnyang'anya soko la Madini MNEC Simiyu

Sio tuu huyu bali kuna wale wapigaji wa kwenye pamba na wale wachina..

Kiufupi Kafulila ametolewa kwa fitina kwa sababu Kwa CCM Upigaji ni utamaduni wao na wanatumia hizo pesa kujihakikishia wanaendelea kuwepo madarakani..

Sasa ukija na gia za kiupinzani na uanaharakati ndio shida hiyo inakukuta..
Mara nyingi nakuambia akilo huna, huna kabisa
 
na wewe ndio walewale , kama mwenyekiti wenu marehemu alishakiri kwamba yeye ni kichaa naweza kuamini vichaa wenzake kama wewe ndio walimpitisha kugombea urais
Mimi nikikuambia ni mumeo utaamini?
 
Kafulila kama kweli hiki ndicho kimekuwa dosari kwenye uongozi Watanzania tunakuombea sana ili Karma isimame na Waovu wote waliofanya fitna kwako. Cheo ni dhamana, kubali matokeo Songambele!
Kilichomponza Kafulila ni Usaliti alioufanya alikotokea , Laana ya Usaliti ni mbaya mno
 
Mmekuwa kama watu mliopigwa bomu la akili. Mpo wenyewe lakini bado mnaweweseka!!
Hivi nyinyi chaga dema mnajua kuwa Nyagiii ikichanganywa na asali maana yake nini ???? mbowe hakuna mtu tena pale ni kopo tu wahuni wamesha mmm..................kwisha habari yake
 
Sio tuu huyu bali kuna wale wapigaji wa kwenye pamba na wale wachina..

Kiufupi Kafulila ametolewa kwa fitina kwa sababu Kwa CCM Upigaji ni utamaduni wao na wanatumia hizo pesa kujihakikishia wanaendelea kuwepo madarakani..

Sasa ukija na gia za kiupinzani na uanaharakati ndio shida hiyo inakukuta..
Leo hadi huyu mpumbavu wa sa100 ...aka kijambio cha chifu ..anapinga kweli ni maajabu
 
Hivi nyinyi chaga dema mnajua kuwa Nyagiii ikichanganywa na asali maana yake nini ???? mbowe hakuna mtu tena pale ni kopo tu wahuni wamesha mmm..................kwisha habari yake
Huwezi kukimbia kivuli chako. CCM ni kama zimwi linalowanyonya watanzania akili na mali zao!!
 
Kafulila kama kweli hiki ndicho kimekuwa dosari kwenye uongozi Watanzania tunakuombea sana ili Karma isimame na Waovu wote waliofanya fitna kwako. Cheo ni dhamana, kubali matokeo Songambele!
CCM ujinga wao ndo huo! Saizi majizi ndo yanatamba usipokuwa kwenye cycle ya hao majizi jiandae kisakolojia! CCM huwa hawataki watendaji wazuri wanapenda kuchonganisha serkali na chama, ikitokea aliyepo juu wa kufanya maamzi ndo kama huyu bibi anafanyia kazi ujinga!
 
Kimsingi Kafulila bado una nafasi kubwa sana ya kuja kuwa kiongozi mkubwa sana, wala usijali kupigwa chini ni namna ya wewe Kukureshape zaidi ya apo.
 
Ana uhuni gani chief?Tushirikishe,maana hapa Moro anafanya kazi nzuri mno,kama ni personal life kwangu sioni tabu yoyote....
Hao wengine ni hoyaahoyaa, Wala usipate shida ya kuwauliza swali kama hilo.
 
Cha ajabu nini? teuzi za kisiasa hazina umiliki, ukipewa fanya kazi ila ujue waliokupa wanaweza kuichukua bila kukupa sababu yeyote, aingie mtaani kama wengine aajiriwe au aanzishe kampuni yake, life goes on, hakuna alichopoteza hapo
 
Back
Top Bottom