Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mara nyingi nakuambia akilo huna, huna kabisaSio tuu huyu bali kuna wale wapigaji wa kwenye pamba na wale wachina..
Kiufupi Kafulila ametolewa kwa fitina kwa sababu Kwa CCM Upigaji ni utamaduni wao na wanatumia hizo pesa kujihakikishia wanaendelea kuwepo madarakani..
Sasa ukija na gia za kiupinzani na uanaharakati ndio shida hiyo inakukuta..