saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila aliwahi kuulizwa na Ayo Tv siku chache zilizopita kuwa haoni anahatarisha nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kwa uamuzi wake wa kumnyang'anya soko la madini lililokuwa likiendeshwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC), Gungu Silanga.
"Ni kweli soko lilikuwa linamilikiwa na Mr Gungu Mnec wetu lakini haijalishi mtu ana nafasi gani kwenye chama lakini inapokuja suala la usimamizi wa sheria lakini watu wote tufuate sheria kwani masoko ya madini kisheria ni mali ya Serikali"