Kafulila amtambulisha mchumba wa Zitto Kabwe

Kafulila amtambulisha mchumba wa Zitto Kabwe

Status
Not open for further replies.
Ndo hivo, juzi nimekuona sehemu unakata mauno kweli, umekooondaa pole lakini haya mashindano ya lundenga waachie watoto, ona sasa ulivyoumbuka bibi bomba😉

Na mimi nilikuona umekumbatiwa na Komba
 
Kanishangaza uchaguzi wake kweli kilamtu apendavyo
Eti mkuu inapendeza ke wako umzidi tako paja kweli?

Uzuri wa mwanamke wa kuoa ni TABIA! Mara chache sana ukapata kalio na tabia zote zikawa safi! Ni Bahati sana!
 
Hata mimi hapa ameniangusha. Namkubali sana huyu jamaa lakini naanza kujiuliza kuhusu tuhuma nyingi zinazo mkabli. Haiwwzekani uende UMRA halafu uzungukwe na maulevi kama hivyo. Nnawasiwasi na Ibada yake ya UMRA kama kweli ilikuwa kwa ajili ya Allwah au kujionyesha kwa watu tu. Na kama huyo Anna ni mkristo basi hapo hapatakuwa na ndoa ni uzinzi tu.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Kwani dhambi duniani ni kuoa mkristo na ulabu tu??????????????/
mbona kwa hirizi na ndumba hamjambo????????????????//
 
uso%2Bkwa%2Buso.jpg


Mtoto wa kiislamu Zitto Zuberi Kabwe kazungukwa na pombe kwenye meza wakati juzijuzi alikuwa amekwenda Hijja ndogo! Kuna mijinga huuona uislamu wa Zitto pale anapo kwazana na chadema, kwenye mambo kama haya wanakuwa kimya kwa unafiki wao.

Hivi huyu Zzk alikosa nini mpaka umri huo aliofikia hana mke wakati mafundisho ya dini yanamtaka kijana balehe aoe?

wako wapi kina faizafox, CHAMVIGA, Ritz na buku saba wengine waliopigwa upofu?
Wewe punguani kweli kwani Zitto ni malaika, mbona kuna Maskofu mashoga na wewe unapenda ushoga?
 
Kwe kwe kwe nilipofungua thread nilidhani ya jana.
 
Anaolewa na msaliti! Halaf mbona zitto anabinua midomo kama demu?
 
uso%2Bkwa%2Buso.jpg


E80A9928.JPG


HATIMAYE kitendawili cha nani atakuwa mwandani wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto kabwe kimeteguliwa kufuatia mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kuutangazia umma juu ya jambo hilo.

Kafulila alitumbua jipu hilo wakati akitoa utambulisho wa wageni waliofika kwenye tafrija ya harusi yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Annex mji Mdogo wa Uvinza wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma.

Katika utambulisho huo Kafulila alimtambulisha Anna kuwa ni mchumba wa Zitto na muda si mrefu mambo yatakuwa hadharani.

Kafulila alisema kuwa licha ya kuwa mchumba wa ZITTO pia ni mtumishi wa Ubalozi wa Ireland hapa nchini.

Harusi hiyo pia ilihudhuriwa na Mbunge David Silinde na Deo Filikunjombe na mkewe (wapambe wa maharusi) na Dk. Kitila Mkumbo.

Utambulisho huo wa mchumba wa Zitto unavunja ukimya wa Mbunge huyo kuwa na mahusiano na Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mkoa wa Kigoma, Muhonga Ruhwanya na Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi (Diva The Boss).

Source: Wavuti

aisee akichapiwa asilalamike maana mtoto mzur kama huyu unavuta mafisi wawekaribu nawe
 
Ila kuna watu was......e kweli.sasa tako la nini kwani unat..........a tako au k........a?.Haya awe na tako alafu k mbovu.
 
Huyu jamaa usikute mtalimbo umelala dolo

Ahaa haaaaa....
Nadhani ubize wa siasa....alafu kuanza siasa ukiwa na age ndogo tatizo saana,
Kuna ule umri wa kuruka ruka mfano ukiwa chuo. Sasa we upo bize na masiasaa mwanzo mwisho...

Ukifika late 30's ndo unakumbuka shuka, matokeo yake unaanza kugusa kuacha kugusa kuacha....

Paka watu waseme jogooo hawik
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom